Kwa mambo kama haya bongo tutafika?

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
86






wabongo naona wameamua kwamba dawa ya 'kibaka' ni 'kipigo'
 
Hizi zote ni ishara za serikali kushindwa kutimiza wajibu wake hence the populace is frustrated and takes the law into their own hands!!
 
Ni police kushindwa kukidhi matakwa wa wananchi ndo maana yanatokea hayo. Wananchi wakimkamata kibaka na kumpleleka police, kesho yake yupo tena mtaani anasumbua. Kwa maana hiyo wameona solution ni kumaliza kabisa fitina.
 
Infact the government is at the same level as the guys you see here .... may b just the dresssing!

What realy happened at the perliament the other day .... IKOWAPI TOFAUTI ya msingi???

Itz amasing how realy thing can go that LOW that FAST!!!
 
Masikini huyu kibaka weeeeeeeeee!!Hivi kijana kama huyu anashindwa kuuza njugu barabarani, njugu mtaji elfu moja tu. Mtu mzima kabisa mikono miwili na miguu miwili lakini bado hataki kujishughulisha.
 
Hizi zote ni ishara za serikali kushindwa kutimiza wajibu wake hence the populace is frustrated and takes the law into their own hands!!

I m realy realy sorry but let me ask you this,when did you stop taking your medication?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…