Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,772 Reaction score 35,771 Jul 14, 2018 #21 kauga JR said: Wwe jamaa hunataarifa sahihi na faculty za elimu ya biashara. Click to expand... Mimi nimeshatoa ushauri wangu kama hataki akasomee education akimaliza aje kulia hapa jukwaani.
kauga JR said: Wwe jamaa hunataarifa sahihi na faculty za elimu ya biashara. Click to expand... Mimi nimeshatoa ushauri wangu kama hataki akasomee education akimaliza aje kulia hapa jukwaani.
Dr Dre JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 2,669 Reaction score 2,859 Jul 14, 2018 #22 safi sana kajitahidi atapata tu asijali cha muhimu aangalie competition ya course atakazochagua
21 February JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 3,310 Reaction score 2,864 Jul 14, 2018 #23 Chuo atapata. BA-AF atachaguliwa kwa baadhi ya vyuo inategemea o level kama alifaulu maths angalau kwa D
Chuo atapata. BA-AF atachaguliwa kwa baadhi ya vyuo inategemea o level kama alifaulu maths angalau kwa D
JM inc Senior Member Joined Apr 27, 2013 Posts 114 Reaction score 54 Jul 14, 2018 #24 anaenda chuo vzr kbsa.... cut off point zinamruhusu