Kwa maks hizi ataenda chuo

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
87
Reaction score
126
Alikua anasoma Eca.

G/STUDIES - 'F' BAM - 'F' ECONOMICS - 'D' COMMERCE - 'C' ACCOUNTANCY - 'D

Kama ataenda chuo je ni kwa course zipi na vyuo gani ?
 
Apoo chuo anaenda na mkopo asilimia mia kabisa,,,, two ya 12 nzur mkuu,,,,,, kuhusu koz inategemea na compitetion iliyopo kwenye chuo husika kwa upande wa iyo koz
 
Ana two ya 11 mkuu. BAF atapata kwel ?
 
Chuo anaenda ila mkopo atapata tabu
KLF wanapata mkopo tena zote sembuse ECA,,,, mwisho wa siku mkopo ni ngekewa tuu,, wenye vigezo ni wengi budget ya serikali ndogo,,, so kwenye maombi kuna rondamly selection kwenye kutoa batch
 
Alikua anasoma Eca.

G/STUDIES - 'F' BAM - 'F' ECONOMICS - 'D' COMMERCE - 'C' ACCOUNTANCY - 'D

Kama ataenda chuo je ni kwa course zipi na vyuo gani ?
Education anapata bila wasiwasi
 
Apoo chuo anaenda na mkopo asilimia mia kabisa,,,, two ya 12 nzur mkuu,,,,,, kuhusu koz inategemea na compitetion iliyopo kwenye chuo husika kwa upande wa iyo koz

Alikua anasoma Eca.

G/STUDIES - 'F' BAM - 'F' ECONOMICS - 'D' COMMERCE - 'C' ACCOUNTANCY - 'D

Kama ataenda chuo je ni kwa course zipi na vyuo gani ?
Chuo anaweza kupata, mkopo huwezi kuwa na hakika 100% inategemea bodi itamsomaje hivyo ni vizuri kujitatyarisha kwa yote mawili.
Pata admission guide book ya TCU ili uweze kufanya uchaguzi wa awali lakini ni vizuri kumsikiliza yeye anataka nini halafu ndio uangalie hali ikoje na kumpa ushauri.
 
Apoo chuo anaenda na mkopo asilimia mia kabisa,,,, two ya 12 nzur mkuu,,,,,, kuhusu koz inategemea na compitetion iliyopo kwenye chuo husika kwa upande wa iyo koz
Mkopo asilimia 100 anasoma medicine au engineering? Kwa kombi yake aombe apate walau 0%... Na kama alisoma private kwa awamu hii aanze kujiandaa kisaikolojia.
 
Kwani huoni yanayoendelea nchini au unaishi USA?

KAMA anataka education akasomee sayansi kitu ambacho kwa kombi yake hakiwezekani!!
Wwe jamaa hunataarifa sahihi na faculty za elimu ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…