GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,117
Wa GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer je, una lolote lingine labda? Kipenzi na Nyota ya Jamvi nimerudi wenye Chuki nami sageni Chupa, Korogeni katika Vikombe mnywe Mfe.Uzi tayari😁
Yaani nikikosa hapa Jamiiforums huwa naumia sana kwani kuna Watu huwa mnanichekesha kwa Majibu yenu na ni Comedians kweli kweli. Mkuu nimecheka mno kwa hii post yako. Ubarikiwe kwa Kuniongezea Siku zangu za Kuishi na Kuzichangamsha Mbavu zangu.Kuna mmoja alinifuata wakati natoka kwenye joint ya ulabu nikamuuliza unaweza kunipakia mimi pamoja na gari yangu?
Ya nn yote hayo wewe ndo unaeathirika sio waoKuna mmoja alinifuata wakati natoka kwenye joint ya ulabu nikamuuliza unaweza kunipakia mimi pamoja na gari yangu?
pamoja sana mkuu, wewe ni mwandishi bora kabisa JFYaani nikikosa hapa Jamiiforums huwa naumia sana kwani kuna Watu huwa mnanichekesha kwa Majibu yenu na ni Comedians kweli kweli. Mkuu nimecheka mno kwa hii post yako. Ubarikiwe kwa Kuniongezea Siku zangu za Kuishi na Kuzichangamsha Mbavu zangu.
Ni matumaini yangu Ujumbe umekufikia.Sawasawa mkuu
Nimezipokea Mkuu ila hata nawe pia ni Mwandishi na Mchangiaji bora zaidi tu hapa JamiiForums.pamoja sana mkuu, wewe ni mwandishi bora kabisa JF
Siko hapa JamiiForums kujionyesha kuwa ni mwana SAUT ninayejielewa au nisiyejielewa ila Wahadhiri wangu walionifundisha Bachelor na Masters yangu na wale watakaoanza Kunifundisha katika 'Doctorate' yangu ndiyo wanajua na watajua Uwezo wangu.Usituchanganye na sisi saut tunaojielewa
Watu wanasumbuliwa na stress, wakiona thread ya mtu wanakuja kuharibu hali ya hewa tu.Hahaha... Nasema tu kila mtu anayo namna yake ya kujieleza na kuandika. Kwa wale mnaomchukia GENTAMYCINE , @kidukulilo na Bill Lugano hamjui tu kwamba nao wana namna yao ya kufikisha ujumbe na sisi wengi tunawaelewa. TUFANYE KAZI.
Kwa majibu ( Kauli ) ambazo huwa ninawapa kutokana na Kero yao hi ambayo inanikera nina uhakika tayari Mwenyezi Mungu ameshaniandalia Kuni zangu ambazo si tu za Kunichoma bali za 'Kunibanika' kabisa Siku akiniita Kwake Mbinguni.
Umeshachoka Kuwatagi ( Tag ) Moderators wote ili nipigwe BAN kama utakavyo baada ya Kunichokoza na Kunidhihaki kwa Makusudi katika huu Uzi wangu tena ukitoka kabisa nje ya Mada ili Kuuharibu Uzi wangu?Huyu Popoma inabidi apigwe Ban ya mwaka mzima pamoja na akaunti zake zote 5 za humu jukwaani