Kwa Majibu 'mabaya' ninayowapa Madereva 'Bodaboda' wenye hii 'Kero' ninaamini huko Mbinguni tayari Kuni zangu za 'Kubanikwa' na Mungu zipo tayari

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,536
Hakuna tabia naichukia kama hii ya Madereva Bodaboda kila wakikuona tu wanakupigia Honi ya kutaka Kukufuata na wakupeleke utakako hata kama huna Safari yoyote ile.

Hivi inaingia Akilini kweli Madereva Bodaboda wanakuona kabisa umefungua Geti huku ukiwa umeshika zako mfagio na mkasi unafanya Usafi nje wa Fensi yako tena Umevalia Kinyumbani ( Kikawaida na Sometimes hata na Suruali yako Chafu au iliyotatuka ) halafu Wanakuja kama Saba hivi na Pikipiki zao na Kukupigia Misele huku wakikutimulia Vumbi na Kukuuliza kama unaenda Mjini?

Kwa majibu ( Kauli ) ambazo huwa ninawapa kutokana na Kero yao hi ambayo inanikera nina uhakika tayari Mwenyezi Mungu ameshaniandalia Kuni zangu ambazo si tu za Kunichoma bali za 'Kunibanika' kabisa Siku akiniita Kwake Mbinguni.

Je, Wenzangu JF huwa mnawajibu vipi?
 
Kuna mmoja alinifuata wakati natoka kwenye joint ya ulabu nikamuuliza unaweza kunipakia mimi pamoja na gari yangu?
Yaani nikikosa hapa Jamiiforums huwa naumia sana kwani kuna Watu huwa mnanichekesha kwa Majibu yenu na ni Comedians kweli kweli. Mkuu nimecheka mno kwa hii post yako. Ubarikiwe kwa Kuniongezea Siku zangu za Kuishi na Kuzichangamsha Mbavu zangu.
 
Yaani nikikosa hapa Jamiiforums huwa naumia sana kwani kuna Watu huwa mnanichekesha kwa Majibu yenu na ni Comedians kweli kweli. Mkuu nimecheka mno kwa hii post yako. Ubarikiwe kwa Kuniongezea Siku zangu za Kuishi na Kuzichangamsha Mbavu zangu.
pamoja sana mkuu, wewe ni mwandishi bora kabisa JF
 
Usituchanganye na sisi saut tunaojielewa
Siko hapa JamiiForums kujionyesha kuwa ni mwana SAUT ninayejielewa au nisiyejielewa ila Wahadhiri wangu walionifundisha Bachelor na Masters yangu na wale watakaoanza Kunifundisha katika 'Doctorate' yangu ndiyo wanajua na watajua Uwezo wangu.

Kikubwa tu namshukuru aliyekuwa Balozi wa Sweden Dk. Wilbroad Slaa, Watangazaji wa Radio One Boss Rweyunga na Farhia Middle, Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Azam Tv na aliyekuwa SAUT Vice Chancellor wangu Fr. Dr. Kitima na Mhadhiri wangu Fr. Ng'atigwa na Kunifagilia on Air ( tena live ) huku wengine wakinipongeza kwakuwa Balozi mzuri wa Kukitangaza vyema Chuo Kikuu changu pendwa na bora cha SAUT Mwanza.

Siku zote ukiwa ni Mpumbavu ( Popoma ) tena wa Kurithishwa na Wazazi kamwe hutoweza kuwa unamuelewa GENTAMYCINE hapa JamiiForums na jinsi ambavyo huwa anaanzisha Mada zake Chokonozi, za Kutoa Ujumbe au Kutahadharisha au za Kushauri ( huku akizitengenezea Utani fulani ) ili Kuzinogesha na badala yake utakuwa unamchukia tu na kumuona ni wa Ajabu.

Ninamshukuru Mungu kwa 'Shani' yake.

Cc: Haya_Land
 
Wala siogopi Mkuu tena ukiweza Watag na Wengine kwani kwa Upumbavu wenu mnanichokoza wenyewe kwa dhihaka zenu Kwangu ili nikiwajibu hovyo mkimbilie kwa Moderators ili nipigwe BAN.

Mkitaka nisiwe nawatolea haya Majibu jaribuni Kujiheshimu vinginevyo Majibu yangu kama haya mtayakoga sana tu Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.

Sera yangu ni ile ile na haijabadilika na haitokuja Kubadilika ambapo Wewe ukijamba basi Mimi nakunya kabisa.

Huu uzi umechangiwa na Watu ( Members ) wengi tu hapa umeshajiuliza ni kwanini Wewe tu na hao Wapumbavu wachache Wenzako ninawajibuni Kunya ( Hovyo ) hivi?

Nipo tayari kwa lolote ila TUHESHIMIANE.
 
Hao wapo kwenye kutafuta riziki,,,acha majivuno kijana....

Ok tumeshajua kwa sasa una nyumba yenye geti na fensi ya maua
 
Kwa majibu ( Kauli ) ambazo huwa ninawapa kutokana na Kero yao hi ambayo inanikera nina uhakika tayari Mwenyezi Mungu ameshaniandalia Kuni zangu ambazo si tu za Kunichoma bali za 'Kunibanika' kabisa Siku akiniita Kwake Mbinguni.

Hata usiwaze mkuu,, Wewe ndio utakayekuwa kuni za kubanika wengine...
 
siku hizi umekua muhuni tu mzee ulisema wewe Jf basi lakini mpaka leo upo
 
Maboda ndio kamusi za mitaa.

Wanajua stori za karibia kila mkazi wa eneo wanalopaki.

Hapo wanajua kabisa kuwa unamiliki TZ 11 ndio maana wakakufuata.
 
Huyu Popoma inabidi apigwe Ban ya mwaka mzima pamoja na akaunti zake zote 5 za humu jukwaani
Umeshachoka Kuwatagi ( Tag ) Moderators wote ili nipigwe BAN kama utakavyo baada ya Kunichokoza na Kunidhihaki kwa Makusudi katika huu Uzi wangu tena ukitoka kabisa nje ya Mada ili Kuuharibu Uzi wangu?

Sikujua kuwa kumbe nikiwa BANNED wengine ndipo mnaweza Kushika Mimba za Waume na Mahawara zenu? Hongereni zenu na nipo tayari kwa lolote Mkuu na Kwangu Msamiati wa Kuogopa au Kukuogopa Mpuuzi mkubwa kama Wewe sina na haupo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom