Kwa Majibu 'mabaya' ninayowapa Madereva 'Bodaboda' wenye hii 'Kero' ninaamini huko Mbinguni tayari Kuni zangu za 'Kubanikwa' na Mungu zipo tayari

Hakuna tabia naichukia kama hii ya Madereva Bodaboda kila wakikuona tu wanakupigia Honi ya kutaka Kukufuata na wakupeleke utakako hata kama huna Safari yoyote ile.

Hivi inaingia Akilini kweli Madereva Bodaboda wanakuona kabisa umefungua Geti huku ukiwa umeshika zako mfagio na mkasi unafanya Usafi nje wa Fensi yako tena Umevalia Kinyumbani ( Kikawaida na Sometimes hata na Suruali yako Chafu au iliyotatuka ) halafu Wanakuja kama Saba hivi na Pikipiki zao na Kukupigia Misele huku wakikutimulia Vumbi na Kukuuliza kama unaenda Mjini?

Kwa majibu ( Kauli ) ambazo huwa ninawapa kutokana na Kero yao hi ambayo inanikera nina uhakika tayari Mwenyezi Mungu ameshaniandalia Kuni zangu ambazo si tu za Kunichoma bali za 'Kunibanika' kabisa Siku akiniita Kwake Mbinguni.

Je, Wenzangu JF huwa mnawajibu vipi?
Mungu hawezi akakuita kwake mbinguni halafu akakuchoma, kama unajijua humpendezi Mungu ujue moja kwa moja ni wajehanamu huna nafasi ya kwenda mbinguni kwa Mungu.
 
GENTAMYCINE umekuja tena kucomment kwenye Uzi wako mwenyewe kwa ID nyingine

Upopoma hauwezi kuisha kwako
Kwahiyo kila ID JamiiForums ni yangu. Nina uhakika hiyo ID ingenitukana usingesema ni yangu ungefurahi ila kwakuwa imeniunga mkono na Kuchukia unachonifanyia umewahi kusema ni yangu. Basi fanyeni tu hivi ID's zote hapa JamiiForums mpaka hi yako zote ni zangu Mimi GENTAMYCINE sawa?
 
Wa GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer je, una lolote lingine labda? Kipenzi na Nyota ya Jamvi nimerudi wenye Chuki nami sageni Chupa, Korogeni katika Vikombe mnywe Mfe.
No gamer changer or anything just matako tu
 
Hakuna tabia naichukia kama hii ya Madereva Bodaboda kila wakikuona tu wanakupigia Honi ya kutaka Kukufuata na wakupeleke utakako hata kama huna Safari yoyote ile.

Hivi inaingia Akilini kweli Madereva Bodaboda wanakuona kabisa umefungua Geti huku ukiwa umeshika zako mfagio na mkasi unafanya Usafi nje wa Fensi yako tena Umevalia Kinyumbani ( Kikawaida na Sometimes hata na Suruali yako Chafu au iliyotatuka ) halafu Wanakuja kama Saba hivi na Pikipiki zao na Kukupigia Misele huku wakikutimulia Vumbi na Kukuuliza kama unaenda Mjini?

Kwa majibu ( Kauli ) ambazo huwa ninawapa kutokana na Kero yao hi ambayo inanikera nina uhakika tayari Mwenyezi Mungu ameshaniandalia Kuni zangu ambazo si tu za Kunichoma bali za 'Kunibanika' kabisa Siku akiniita Kwake Mbinguni.

Je, Wenzangu JF huwa mnawajibu vipi?
Unapigwa ban kila siku hujifunzi tu, shida unaandika makamba ambayo hayana kichwa wala miguu
 
Wala siogopi Mkuu tena ukiweza Watag na Wengine kwani kwa Upumbavu wenu mnanichokoza wenyewe kwa dhihaka zenu Kwangu ili nikiwajibu hovyo mkimbilie kwa Moderators ili nipigwe BAN.

Mkitaka nisiwe nawatolea haya Majibu jaribuni Kujiheshimu vinginevyo Majibu yangu kama haya mtayakoga sana tu Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.

Sera yangu ni ile ile na haijabadilika na haitokuja Kubadilika ambapo Wewe ukijamba basi Mimi nakunya kabisa.

Huu uzi umechangiwa na Watu ( Members ) wengi tu hapa umeshajiuliza ni kwanini Wewe tu na hao Wapumbavu wachache Wenzako ninawajibuni Kunya ( Hovyo ) hivi?

Nipo tayari kwa lolote ila TUHESHIMIANE.
@Maxence Melo piga ban huyu aende Facebook huko huku linatukana tu
 
Hakuna tabia naichukia kama hii ya Madereva Bodaboda kila wakikuona tu wanakupigia Honi ya kutaka Kukufuata na wakupeleke utakako hata kama huna Safari yoyote ile.

Hivi inaingia Akilini kweli Madereva Bodaboda wanakuona kabisa umefungua Geti huku ukiwa umeshika zako mfagio na mkasi unafanya Usafi nje wa Fensi yako tena Umevalia Kinyumbani ( Kikawaida na Sometimes hata na Suruali yako Chafu au iliyotatuka ) halafu Wanakuja kama Saba hivi na Pikipiki zao na Kukupigia Misele huku wakikutimulia Vumbi na Kukuuliza kama unaenda Mjini?

Kwa majibu ( Kauli ) ambazo huwa ninawapa kutokana na Kero yao hi ambayo inanikera nina uhakika tayari Mwenyezi Mungu ameshaniandalia Kuni zangu ambazo si tu za Kunichoma bali za 'Kunibanika' kabisa Siku akiniita Kwake Mbinguni.

Je, Wenzangu JF huwa mnawajibu vipi?
Mkuu ile font yako pendwa inayo kudistinct na wenzako umeamua kuachana nayo?
 
kumbe hadi Bunda vijijini kunakuwaga na bodaboda. I had no idea...
 
Popoma hoye dr slaa hapa nikiwa hom nakula mtungi vp kijana wangu popoma upo
 
Back
Top Bottom