Kwa mahitaji ya viwanja Mbezi/Kimara tuwasiliane.

Dr sanga m ninaitaj hila bei yako iko juu sana huna vya bei ya chini
 
natafuta mbezi temboni kuna lami mpya inangia kushoto ukitokea kimara,,,nataka kiwanja maeneo hayo ila isiwe baada ya mwisho wa lami
 
Mimi ni sehemu moja tu mkuu
natafuta mbezi temboni kuna lami mpya inangia kushoto ukitokea kimara,,,nataka kiwanja maeneo hayo ila isiwe baada ya mwisho wa lami
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom