Kwa mahitaji ya viwanja Chanika

katoto1984

Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
97
Reaction score
17
Kama ni muhitaj wa kiwanja maeneo ya chanika
Tuwasiliane,

Bei kuanzia million 4,
Umeme upo na maji c shida!
 
hello,
sema ukubwa wake na umbali kutoka main road
 
Mm siyo dalali, Ni Jiran na hivyo viwanja,
Kuna kiwanja na nyumba, nyumba milion 13.
Kiwanja nne million! Kama unataka njoo pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…