Emory Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 492
- 630
Inamaana ukopeshwe mtaji cio????????
ntakuamini vp ckujui?!
hela hauwezi kupewa kwa mtindo huo wa biashara unaotaka kuufanya,tafuta mtu huku bongo muamini then mfanye kazi,yeye atakuja na mzigo mtu unauona unafanya malipo,sio ulipwe kitu hakijaonekana,au unadhani ni wapumbavu walioleta msemo wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia,be serious man,you can do business but not in the way you want to use,game hii ya maisha ni ngumu sana mkuu...
Sent from my iPhone using JamiiForums

Mi nahitaji Sony xperia Z au Z1. How much will cost hadi hapa dar?
taja bei yake wazi Pm ya nin,Nmeku pm mkuu. Karibu sana
taja bei yake wazi Pm ya nin,
Nmeku pm mkuu. Karibu sana
Mi mbona hujibu pm yangu si nimekuuliza kule au unataka nikuulize hukuhuku ndo ujibu?
iphone 5 /xperia z/ zna costs kama kingapiii