Engine ya 1vd Toyota Land cruiser ukizipata nzuri nicheki yenye turbo mbili ni hizi za kwenye LC 200 kuanzia 2009 kuja juu au wadau wanaziita kilimo kwanza bei zake ni mkasi unatakiwa uzunguke uone yenye unafuu kuliko hao wengine ndio utafanya biashara..