Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 640
- 615
Hata akikaa ndani ya handaki ukienda mwendo unaostahili hakupati.View attachment 501473
Kwa madereva wenzangu huku barabarani hawa wenzetu baada ya kuona mbinu zao za tumeanza kuzizoea wamebuni mbinu mpya nayo ni kupanda juu ya miti na kamera zao. Zingatieni sheria muwapo barabarani.
Huo ni ujuha, sawa na ule wa "Mfalme Juha"Khaaa too much sasa
Mara puuuh kaanguka kategua kiuno atamlaumu nano?????
Au akidungwa na nyoka huko juu atamlilia nani????
Dah