Kwa kweli voda mlipofikia mtumbuke mpone haraka

Kwa kweli voda mlipofikia mtumbuke mpone haraka

Joined
Aug 3, 2016
Posts
16
Reaction score
6
Habari wakuu!!!
Ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Vodacom Tanzania ila najitokeza kuyatoa ya moyoni maana wamezd wizi. Kila siku mnabadili vifurushi lakini hivi vya sasa ni kukomoana jamani yaani 450 vijmb vichache eti saa 24??? Na hizo offa kandamizi acheni kuzipigia promo ila muwe makiini wengi wanhama kutafuta unafuu KAZI NI KWENU na HAPA RISITI TU
 
Back
Top Bottom