Kwa kweli Sumaye kachoka sana

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,707
Reaction score
4,578
Nimemuangalia leo kwenye mkutano wa Kubenea, hata sura imeanza kunyongea na anayoongea yanajikanganya ovyo! nadhani anajutia uamuzi wake wa tamaa ya fedha na uroho wa madaraka. Ye yupo kwenye mkutano wa chadema badala ya kunadi sera za chadema yuko bize kurudiarudia yale yale ya kila siku ya kuishambulia ccm kumbe hajui watu wanamwona ni katuni tu. Hata suti zimemtupa mkono.
 
Ukiona amechoka ujeue kashapata, soon utaelewa..
 
Sumaye anawavua nguo ccm utadhani sio ndugu zake...!!!
 
Wewe unahangaaika na mwoneka wa mtu loh!!!!!! mmh!!!!!

Walichoka watu hadi walikua wanazimia white house na kuipoteza nchi yenye asali na maziwa, mbona hamkuliona hilo.
 
Magufuli hana jipya,ahadi lukuki wakati hata zile za JMK hazijatekelezeka!
 
Kisu kimegonga mfupa.... UKAWA kimbiza MaCCM haoooo!
 
Bora hata huyo Sumaye anaongea na kueleweka, ana nguvu kwa maoni yangu na ana hoja. Huyo mgombea ndio kabisa, haiba sifuri, nothing significant from Mr Nywele nyeupe...ni kismati tu, au wapumbavu wameamua kupigia jiwe kama walivyoahidi...
 
Uda....hela zetu....tatizo ni gari za mwendo kasiiii ama barabara za mwendo kasi.Tafakari chukja hatua...ndiiiiii Haki lowasaaaaaa
 

Naona Sumaye nae kaongezea kuwavuruga magamba... hahaaaaaaaaaa
 
Sumaye alikuwa na haki zote kuhama Ccm. Miaka 10 alitupwa hata Call moja ya Mh.Rais hajawahi kuona kwn Sim yake, Akina Niki wa Pili, Mwana FA, JB wamekiri mbele ya Rais kupigiwa simu mara kadhaa na Mh.Lakin Sumaye alitupwa kule. MBOWE kajitokeza kumpa Shavu iweje akatae? 2010 Walimsaidia Sana yule Padri Mzinifu kwa siri lakini kura hazikutosha
 
Sumaye hajui anakoenda wala hajitambui,naona uvivu hata kumzungumzia.tamaa ya fisi imemponza
 

We na sumaye nan kachoka????
 
Huyu Jamaa amekuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini hakuna kitu kabisa.
 

we hukomi tu na ujinga wako wa manyimbo ya kijinga. Kila thread unaleta utumbo huu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…