UVCCM kwa hili la Frederick Tluway Sumaye, mmepotoka na jirekebisheni!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Natambua kuwa Siasa ni kila kitu kwani panapokuwa na Siasa safi basi hata ustawi wa nchi husika katika nyanja za kijamii, uchumi, imani na hata uongozi wake nao huwa ni imara hatimaye kuweza kupelekea taifa au nchi fulani kupiga maendeleo makubwa sana.

Lakini hii hii Siasa na yenyewe ina kiwango chake cha usambazaji wa itikadi zake haswa kwa wale wanaofuatilia Siasa yenyewe au kwa Vyama husika au hata kwa Wananchi wenyewe wa hiyo nchi husika na hicho kiwango au ukomo wa usambazaji wa itikadi ya Chama fulani umewekwa na unatakiwa pia kuzingatiwa ili kutokuleta mkanganyiko baina ya wafuatiliaji kisha ustwahi wa amani wa nchi nao ukaingia matatizoni.

Binafsi nimezipokea taarifa za kwamba umoja wa Vijana wa CCM ( chama dola / tawala ) za kusema kwamba Aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu Mzee Frederick Tluway Sumaye hana VIGEZO au SIFA zozote zile za kumshauri Mheshimiwa Rais wetu Kipenzi Dkt. John Magufuli kwa MASIKITIKO makubwa mno.

Umoja huu wa UVCCM najua kuwa umekuwa ukifanya Siasa zake kwa UELEDI kabisa miaka ya nyuma na hakuna asiyejua kuwa UVCCM ina mchango mkubwa mno kwa upatikanaji wa Ushindi wa Chama chetu tawala cha CCM kutokana na ushawishi wake mkubwa ambao unahusisha Vijana walio wengi katika nchi hii kitakwimu.

Ila kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikipatwa na mshangao sana hasa ninaposikia KAULI fulani ambazo naziita si za KIUELEDI zinazotaka kwa Viongozi wa UVCCM na nachelea kusema kuwa hayo MATAMKO kweli huwa yana baraka za wana CCM wote sana sana naona kama vile hayo MATAMKO huwa yanatolewa na Watu kadhaa kwa ama nia ya kutafuta SIFA kwa Mheshimiwa Rais au wanayatoa ili pengine WAKUMBUKWE katika TEUZI zijazo.

Kabla sijaenda mbele zaidi naomba kuwauliza maswali haya UVCCM :

  1. Ni nani nchi hii anayetakiwa kumshauri Rais wetu?
  2. Hivi vigezo vya kuwachambua wanaotakiwa kumshauri Rais wetu mmevianzisha lini?
  3. Je hati miliki ya kuwa Washauri wa Rais tunayo sisi tu wana CCM au ni kwa Watanzania wote?
  4. Haya MATAMKO mnayoyatoa kwa KUKURUPUKA huwa yana baraka za Wakuu wenu wa Taifa?
  5. Kwa sasa hivi tunatakiwa kujenga nchi kwa upamoja wetu kama Watanzania au ni sisi tu wana CCM ndiyo tunatakiwa kujenga nchi?
  6. Kwani ni lazima hata kama anayekushauri USHAURI wake hujaupenda au huutaki uje umjibu? Mngekaa kimya tu isingetosha kuwa jibu tosha kwake?
  7. Mheshimiwa Sumaye alitoa hayo mawazo yake akiwa kama Mtanzania au Mwana CHADEMA ( Mpinzani? ).
Naomba leo niwaume sikio kwa kuwaambieni kuwa kipindi cha Kampeni kimeshapita na hizi KAULI nadhani zingetolewa wakati ule wa KAMPENI zingekuwa na TIJA sana hasa KICHAMA lakini kuja kuanza kutoa MATAMKO ya KISIASA hasa kipindi hiki ambacho Rais wetu Dkt. Magufuli anahitaji sana michango ya kimawazo ya Watanzania wote sidhani kama kutaisadia nchi yetu katika harakati zake za kukimbizana na waliotuacha kimaendeleo.

UVCCM acheni kuendeleza Siasa na Propaganda kwa sasa na acheni kuwafunga Watu midomo kama wana ya kusema kwani nchi hii ikifanikiwa hafanikiwi tu Mwana CCM au Mwana UKAWA na nchi hii ikiingia matatizoni haumii tu Mwana UKAWA au Mwana CCM bali tutaumia wote kama Nchi / Taifa.

Yapokeeni tu hayo yanayosemwa au kushauriwa kwa Rais wetu kisha nyie kama chama kaeni na muyatafakari na mkiona yanawafaa yachukueni na mkiona hayawafai basi yaacheni kwani nina amini na ninavyomjua Rais Magufuli na hata katika hotuba zake kila mara anajinasibu kuwa yeye ni Rais wa Watanzania na amekuja kuwatumikia Watanzania na sijawahi kumsikia akisema yeye ni Rais wa wana CCM tu na amekuja kuwatumikia wana CCM.

UVCCM kaeni mkijua kuwa hata ule ushindi wetu mkubwa uliopelekea Dkt. Magufuli kuwa Rais zile KURA hazikutoka tu kwa Wana CCM bali wapo ambao wanatoka UPINZANI ( UKAWA ) ambao leo tunawadhihaki lakini waliipigia kura CCM hasa kwa kiti cha Urais hivyo basi tujifunze kuwaheshimu na kuwatambua kwa maslahi ya Tanzania yetu.

Nina wasiwasi sasa huko tunapoenda itafikia muda UVCCM hata Viongozi wa Dini au Wanazuoni na mpaka Watu wa kawaida tu mtakuwa mnawazuia kumshauri Mheshimiwa Rais kisa tu wao sio Wana CCM wenzetu. Nijuavyo mimi ni kwamba hata yule Kiongozi wa OMBA OMBA Marehemu MATONYA na yeye pia kama angekuwepo na kushauri kitu kuhusu Rais wetu mngepashwa pia kuyachukua mawazo yake kwani katika Sayansi ya AKILI hakuna Mwanadamu aliye MJINGA au MPUMBAVU ila tu tunazidiana katika hayo matumizi ya hizo AKILI zetu.

Mwisho nasema neno UBAGUZI lina dhana pana sana kimantiki na hata MUASISI wetu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa kila mara akikemea Watu KUBAGUANA kwa misingi ya Kisiasa, Dini, Rangi na Ukabila na kwa hiki Kitendo cha UVCCM kumpinga Mzee Sumaye hadi kusema kuwa hana VIGEZO VYA KUMSHAURI Rais wetu ni UBAGUZI mbaya wa KIITIKADI ambao Nyerere aliukataa hivyo jifunzeni kutembea katika misingi ya Siasa aliyotuachia Baba wa Taifa ambayo inataka KUHESHIMIANA, KUVUMILIANA na KUSIKILIZANA.

Akhsanteni sana na tambueni naipenda CCM ila naipenda sana na mno Tanzania na Afrika hivyo Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania na Vyama vyote vya Siasa vilivyopo nchini Tanzania. Tujenge nchi kwanza kwa upamoja wetu na Siasa zetu hizi za MAJITOPE tuzipe likizo ya muda mrefu.

Naomba kuwasilisha!

==================

Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Waziri mstaafu Frederick Sumaye, hana vigezo wala sifa zozote zinazoweza kumfanya awe na uwezo wa kumkosoa Rais Dk John Magufuli katika uendeshaji wa serikali na masuala ya utawala.

Sumaye ametakiwa amuache Rais Dk Magufuli ili atimize majukumu yake kwa sababu alipewa dhamana ya kuwa Waziri Mkuu lakini hakufikia hata thekuthi ya utendaji unaofanyika sasa.

Hayo yamesemwa jana na Kaimu Katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM wa kata mbili za Kwandele na Mbichi jimbo Rombo mkoani Kilimanjaro.

Shaka alisema anachokifanya Sumaye na baadhi ya wanasiasa muflisi wanaojaribu kukosoa utendaji katika utawala wa serikali ya awamu ya tano ni kutaka nao wasikike wakidhani yale walioyafanya wakati wakiwa madarakani wananchi wameyasahau.

Alisema kama yupo waziri mkuu ambaye ameonyesha udhaifu katika utendaji na usimamizi wa serikaki huku akishindwa kumsaidia Rais hakuna atakayempita Sumaye.

“Amekuwa waziri mkuu kwa miaka kumi kuliko waziri mkuu yeyote na kwa bahari mbaya sana ndiye waziri mkuu zero kuliko mwingine yeyote tokea tupate uhuru mwaka 1961 “alisema shaka.

Aidha Kaimu huyo katibu mkuu alimuonya sumaye akimtaka aache kumfuatafuata Dk Magufuli katika mikakati yake ya kutumikia nchi na juhudi anazichukua dhidi ya mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma nchini.
Alisema wakati Rais Magufuli akiwa katika dhamira njema na nia ya wazi iuwatumikia wananchi kwa uadilifu, uaminifu na heshima alisema kina sumaye na wenzake wafumbe midomo yao na waache mara moja kumbughudhi Rais kwa ajili ya kusaka umaarufu wa kisiasa.

“Sumaye aacha kufuatafuata Rais na kujifanya unajua wakati mambo yalikushinda wakati ukiwa PM, kama huna maneno ya kusema rudi Hanang ukalime maharage na karanga “alisema
Pia shaka aliwataka wananchi wa jinbo la Rombo kujitatayarisha ili kumpiga chini mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema Joseph Selasini kwasabahu ni dhaifu na hatoshi kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.

“Siku zake za kuitwa mbunge wa Rombo sasa zinahesabika, selasimi hajui anavhokufanya wala hajali shida na matatizo yaliopo katika jimbo lake,lazima adui huyo apigiwe mwaka 2020 “alisisitiza shaka
Akizungumza katika mkutano huo mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro Juma Raib Juma aliwakanya wananchi wa kanda ya Kaskazini kuacha mara moja tabia ya kushiriki na kuchagua vyama na wagonbea wa nafasi mbali mbali kwa ukabila, ujimbo au nasaba.

Raibu alisema ikiwa wananchi wa kaskazini sasa wanaishi katika Mikao yote ya Tanania, si jambo la maana wao wakahesabiwa kama ni wabaguzi kwa misingi ya asili au ujamaa.

“Tunachotaka kukisafanya baadhi ya wananchi wa Mikao ya Kaskazini ni kumuasi baba wa Taifa marehemu Mwalimu julius Nyerere, haiutuacha tukiwa tumegawahyika , tumeishi miaka yote hatukuongozwa kwa ukabila au udini, chadema acheni kwasabahu hilo ni baa au janga katika jamii “alisema Raib.

Jumla ya wananchi wapya 103 wa CCM na jumiya zake walijiunga na chama cha mapinduzi pia shaka alipata nafasi ya kuangalia mechi ya soka kati ya timu za kata za makiidi na mahare wilaya Rombo.

Na Woinde Shizza, Kilimanjaro
 
Dunia na Tanzania nzima inajua kuwa CCM ni chama cha kibaguzi, wanatugawa kikanda, (rais hawezi kutoka kazkazin)
wanatugawa kwa dini,
Wanatugawa kwa rangi, (machotara na hizbu)
Wanatugawa kiitikadi, kila siku wanaaina mpya ya ubaguzi, Mungu atusaidie tuendako
 
"Eti si walisema wataandamana kumng'oa waziri; kwenye sakata la waziri Februari" maandamano yaliishia wapi?mbona mhusika yupo ofisi mpaka leo.
 
“Sumaye aacha kufuatafuata Rais na kujifanya unajua wakati mambo yalikushinda wakati ukiwa PM, kama huna maneno ya kusema rudi Hanang ukalime maharage na karanga “alisema.

Pia shaka aliwataka wananchi wa jinbo la Rombo kujitatayarisha ili kumpiga chini mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema Joseph Selasini kwasabahu ni dhaifu na hatoshi kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.

“Siku zake za kuitwa mbunge wa Rombo sasa zinahesabika, selasimi hajui anavhokufanya wala hajali shida na matatizo yaliopo katika jimbo lake,lazima adui huyo apigiwe mwaka 2020 “alisisitiza shaka.

Akizungumza katika mkutano huo mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro Juma Raib Juma aliwakanya wananchi wa kanda ya Kaskazini kuacha mara moja tabia ya kushiriki na kuchagua vyama na wagonbea wa nafasi mbali mbali kwa ukabila, ujimbo au nasaba.

Raibu alisema ikiwa wananchi wa kaskazini sasa wanaishi katika Mikao yote ya Tanania, si jambo la maana wao wakahesabiwa kama ni wabaguzi kwa misingi ya asili au ujamaa.

“Tunachotaka kukisafanya baadhi ya wananchi wa Mikao ya Kaskazini ni kumuasi baba wa Taifa marehemu Mwalimu julius Nyerere, haiutuacha tukiwa tumegawahyika , tumeishi miaka yote hatukuongozwa kwa ukabila au udini, chadema acheni kwasabahu hilo ni baa au janga katika jamii “alisema Raib.

Jumla ya wananchi wapya 103 wa CCM na jumiya zake walijiunga na chama cha mapinduzi pia shaka alipata nafasi ya kuangalia mechi ya soka kati ya timu za kata za makiidi na mahare wilaya Rombo.
 
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Waziri mstaafu Frederick Sumaye, hana vigezo wala sifa zozote zinazoweza kumfanya awe na uwezo wa kumkosoa Rais Dk John Magufuli katika uendeshaji wa serikali na masuala ya utawala.
Sumaye ametakiwa amuache Rais Dk Magufuli ili atimize majukumu yake kwa sababu alipewa dhamana ya kuwa Waziri Mkuu lakini hakufikia hata thekuthi ya utendaji unaofanyika sasa.
Hayo yamesemwa jana na Kaimu Katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM wa kata mbili za Kwandele na Mbichi jimbo Rombo mkoani Kilimanjaro.
Shaka alisema anachokifanya Sumaye na baadhi ya wanasiasa muflisi wanaojaribu kukosoa utendaji katika utawala wa serikali ya awamu ya tano ni kutaka nao wasikike wakidhani yale walioyafanya wakati wakiwa madarakani wananchi wameyasahau.
Alisema kama yupo waziri mkuu ambaye ameonyesha udhaifu katika utendaji na usimamizi wa serikaki huku akishindwa kumsaidia Rais hakuna atakayempita Sumaye.
“Amekuwa waziri mkuu kwa miaka kumi kuliko waziri mkuu yeyote na kwa bahari mbaya sana ndiye waziri mkuu zero kuliko mwingine yeyote tokea tupate uhuru mwaka 1961 “alisema shaka.
Aidha Kaimu huyo katibu mkuu alimuonya sumaye akimtaka aache kumfuatafuata Dk Magufuli katika mikakati yake ya kutumikia nchi na juhudi anazichukua dhidi ya mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma nchini.
Alisema wakati Rais Magufuli akiwa katika dhamira njema na nia ya wazi iuwatumikia wananchi kwa uadilifu, uaminifu na heshima alisema kina sumaye na wenzake wafumbe midomo yao na waache mara moja kumbughudhi Rais kwa ajili ya kusaka umaarufu wa kisiasa.
“Sumaye aacha kufuatafuata Rais na kujifanya unajua wakati mambo yalikushinda wakati ukiwa PM, kama huna maneno ya kusema rudi Hanang ukalime maharage na karanga “alisema
Pia shaka aliwataka wananchi wa jinbo la Rombo kujitatayarisha ili kumpiga chini mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema Joseph Selasini kwasabahu ni dhaifu na hatoshi kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.
“Siku zake za kuitwa mbunge wa Rombo sasa zinahesabika, selasimi hajui anavhokufanya wala hajali shida na matatizo yaliopo katika jimbo lake,lazima adui huyo apigiwe mwaka 2020 “alisisitiza shaka
Akizungumza katika mkutano huo mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro Juma Raib Juma aliwakanya wananchi wa kanda ya Kaskazini kuacha mara moja tabia ya kushiriki na kuchagua vyama na wagonbea wa nafasi mbali mbali kwa ukabila, ujimbo au nasaba.
Raibu alisema ikiwa wananchi wa kaskazini sasa wanaishi katika Mikao yote ya Tanania, si jambo la maana wao wakahesabiwa kama ni wabaguzi kwa misingi ya asili au ujamaa.
“Tunachotaka kukisafanya baadhi ya wananchi wa Mikao ya Kaskazini ni kumuasi baba wa Taifa marehemu Mwalimu julius Nyerere, haiutuacha tukiwa tumegawahyika , tumeishi miaka yote hatukuongozwa kwa ukabila au udini, chadema acheni kwasabahu hilo ni baa au janga katika jamii “alisema Raib.
Jumla ya wananchi wapya 103 wa CCM na jumiya zake walijiunga na chama cha mapinduzi pia shaka alipata nafasi ya kuangalia mechi ya soka kati ya timu za kata za makiidi na mahare wilaya Rombo.
Poleni sana vijana. Humo ninaona mipasho tu, sioni hoja. Kama wakubwa wenu
 
Alietoa tamko huyu hajitambui hata jinsia yake inawezaje kutambua mustakabali wa taifa hili?
Hawa watoto wa UVCCM utadhani ni watoto wa danguroni jinsi wasivyojiheshimu.
Na toka wengine waanze tabia ya kwenda mapumzikoni Mombasa ndio wameharibikiwa kabisa
 
Kwa product hii ya vijana hawa inaonesha kufeli kwa viongozi wao wazee wa chama, sasa Bulembo ndio MWENYEKITI WA WAZAZI unategemea mtoto kwenye familia hiyo atakuwaje? Shida tupu.
 
Nimewahi kusema Magufuli asipokuwa makini, atapotoshwa vya kutosha na waganga njaa wa CCM, hao vijana maisha ya mtaani ni magumu na kazi hawataki, wanasubiri teuzi, sasa kila nyota wanayohisi inamgusa Magu lazima waisafiria.....audacity ya Sumaye ndo big deal at the moment.....tutasikia mengi
 
Dunia na Tanzania nzima inajua kuwa CCM ni chama cha kibaguzi, wanatugawa kikanda, (rais hawezi kutoka kazkazin)
wanatugawa kwa dini,
Wanatugawa kwa rangi, (machotara na hizbu)
Wanatugawa kiitikadi, kila siku wanaaina mpya ya ubaguzi, Mungu atusaidie tuendako
Dunia Yote Inaamini na kujua kuwa hakuna Chama kilichobora kama CCM. Chama kinachojali na kuthamini maisha ya kila Mtanzania bila kuangalia utofauti wa Vipato vyao.

Chama kilichoamua kuwatimua mafisadi Wote na kujisafisha kwa upana Zaidi.

chama kilicholeta Umoja na mshikamano kwa watu wa DINI zote. Ni wanafiki wachache na wale waliodanganywa mabadiliko Huletwa kwa kuzunguusha mikono, ndio watakao likataa hili kuhusu CCM.

Naapa naaahidi mbele ya chama
maapinduzi nitakulinda
mpaka kufa X2
 
Natambua kuwa Siasa ni kila kitu kwani panapokuwa na Siasa safi basi hata ustawi wa nchi husika katika nyanja za kijamii, uchumi, imani na hata uongozi wake nao huwa ni imara hatimaye kuweza kupelekea taifa au nchi fulani kupiga maendeleo makubwa sana.

Lakini hii hii Siasa na yenyewe ina kiwango chake cha usambazaji wa itikadi zake haswa kwa wale wanaofuatilia Siasa yenyewe au kwa Vyama husika au hata kwa Wananchi wenyewe wa hiyo nchi husika na hicho kiwango au ukomo wa usambazaji wa itikadi ya Chama fulani umewekwa na unatakiwa pia kuzingatiwa ili kutokuleta mkanganyiko baina ya wafuatiliaji kisha ustwahi wa amani wa nchi nao ukaingia matatizoni.

Binafsi nimezipokea taarifa za kwamba umoja wa Vijana wa CCM ( chama dola / tawala ) za kusema kwamba Aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu Mzee Frederick Tluway Sumaye hana VIGEZO au SIFA zozote zile za kumshauri Mheshimiwa Rais wetu Kipenzi Dkt. John Magufuli kwa MASIKITIKO makubwa mno.

Umoja huu wa UVCCM najua kuwa umekuwa ukifanya Siasa zake kwa UELEDI kabisa miaka ya nyuma na hakuna asiyejua kuwa UVCCM ina mchango mkubwa mno kwa upatikanaji wa Ushindi wa Chama chetu tawala cha CCM kutokana na ushawishi wake mkubwa ambao unahusisha Vijana walio wengi katika nchi hii kitakwimu.

Ila kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikipatwa na mshangao sana hasa ninaposikia KAULI fulani ambazo naziita si za KIUELEDI zinazotaka kwa Viongozi wa UVCCM na nachelea kusema kuwa hayo MATAMKO kweli huwa yana baraka za wana CCM wote sana sana naona kama vile hayo MATAMKO huwa yanatolewa na Watu kadhaa kwa ama nia ya kutafuta SIFA kwa Mheshimiwa Rais au wanayatoa ili pengine WAKUMBUKWE katika TEUZI zijazo.

Kabla sijaenda mbele zaidi naomba kuwauliza maswali haya UVCCM :

  1. Ni nani nchi hii anayetakiwa kumshauri Rais wetu?
  2. Hivi vigezo vya kuwachambua wanaotakiwa kumshauri Rais wetu mmevianzisha lini?
  3. Je hati miliki ya kuwa Washauri wa Rais tunayo sisi tu wana CCM au ni kwa Watanzania wote?
  4. Haya MATAMKO mnayoyatoa kwa KUKURUPUKA huwa yana baraka za Wakuu wenu wa Taifa?
  5. Kwa sasa hivi tunatakiwa kujenga nchi kwa upamoja wetu kama Watanzania au ni sisi tu wana CCM ndiyo tunatakiwa kujenga nchi?
  6. Kwani ni lazima hata kama anayekushauri USHAURI wake hujaupenda au huutaki uje umjibu? Mngekaa kimya tu isingetosha kuwa jibu tosha kwake?
  7. Mheshimiwa Sumaye alitoa hayo mawazo yake akiwa kama Mtanzania au Mwana CHADEMA ( Mpinzani? ).
Naomba leo niwaume sikio kwa kuwaambieni kuwa kipindi cha Kampeni kimeshapita na hizi KAULI nadhani zingetolewa wakati ule wa KAMPENI zingekuwa na TIJA sana hasa KICHAMA lakini kuja kuanza kutoa MATAMKO ya KISIASA hasa kipindi hiki ambacho Rais wetu Dkt. Magufuli anahitaji sana michango ya kimawazo ya Watanzania wote sidhani kama kutaisadia nchi yetu katika harakati zake za kukimbizana na waliotuacha kimaendeleo.

UVCCM acheni kuendeleza Siasa na Propaganda kwa sasa na acheni kuwafunga Watu midomo kama wana ya kusema kwani nchi hii ikifanikiwa hafanikiwi tu Mwana CCM au Mwana UKAWA na nchi hii ikiingia matatizoni haumii tu Mwana UKAWA au Mwana CCM bali tutaumia wote kama Nchi / Taifa.

Yapokeeni tu hayo yanayosemwa au kushauriwa kwa Rais wetu kisha nyie kama chama kaeni na muyatafakari na mkiona yanawafaa yachukueni na mkiona hayawafai basi yaacheni kwani nina amini na ninavyomjua Rais Magufuli na hata katika hotuba zake kila mara anajinasibu kuwa yeye ni Rais wa Watanzania na amekuja kuwatumikia Watanzania na sijawahi kumsikia akisema yeye ni Rais wa wana CCM tu na amekuja kuwatumikia wana CCM.

UVCCM kaeni mkijua kuwa hata ule ushindi wetu mkubwa uliopelekea Dkt. Magufuli kuwa Rais zile KURA hazikutoka tu kwa Wana CCM bali wapo ambao wanatoka UPINZANI ( UKAWA ) ambao leo tunawadhihaki lakini waliipigia kura CCM hasa kwa kiti cha Urais hivyo basi tujifunze kuwaheshimu na kuwatambua kwa maslahi ya Tanzania yetu.

Nina wasiwasi sasa huko tunapoenda itafikia muda UVCCM hata Viongozi wa Dini au Wanazuoni na mpaka Watu wa kawaida tu mtakuwa mnawazuia kumshauri Mheshimiwa Rais kisa tu wao sio Wana CCM wenzetu. Nijuavyo mimi ni kwamba hata yule Kiongozi wa OMBA OMBA Marehemu MATONYA na yeye pia kama angekuwepo na kushauri kitu kuhusu Rais wetu mngepashwa pia kuyachukua mawazo yake kwani katika Sayansi ya AKILI hakuna Mwanadamu aliye MJINGA au MPUMBAVU ila tu tunazidiana katika hayo matumizi ya hizo AKILI zetu.

Mwisho nasema neno UBAGUZI lina dhana pana sana kimantiki na hata MUASISI wetu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa kila mara akikemea Watu KUBAGUANA kwa misingi ya Kisiasa, Dini, Rangi na Ukabila na kwa hiki Kitendo cha UVCCM kumpinga Mzee Sumaye hadi kusema kuwa hana VIGEZO VYA KUMSHAURI Rais wetu ni UBAGUZI mbaya wa KIITIKADI ambao Nyerere aliukataa hivyo jifunzeni kutembea katika misingi ya Siasa aliyotuachia Baba wa Taifa ambayo inataka KUHESHIMIANA, KUVUMILIANA na KUSIKILIZANA.

Akhsanteni sana na tambueni naipenda CCM ila naipenda sana na mno Tanzania na Afrika hivyo Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania na Vyama vyote vya Siasa vilivyopo nchini Tanzania. Tujenge nchi kwanza kwa upamoja wetu na Siasa zetu hizi za MAJITOPE tuzipe likizo ya muda mrefu.

Naomba kuwasilisha!

==================

Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema Waziri mstaafu Frederick Sumaye, hana vigezo wala sifa zozote zinazoweza kumfanya awe na uwezo wa kumkosoa Rais Dk John Magufuli katika uendeshaji wa serikali na masuala ya utawala.

Sumaye ametakiwa amuache Rais Dk Magufuli ili atimize majukumu yake kwa sababu alipewa dhamana ya kuwa Waziri Mkuu lakini hakufikia hata thekuthi ya utendaji unaofanyika sasa.

Hayo yamesemwa jana na Kaimu Katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM wa kata mbili za Kwandele na Mbichi jimbo Rombo mkoani Kilimanjaro.

Shaka alisema anachokifanya Sumaye na baadhi ya wanasiasa muflisi wanaojaribu kukosoa utendaji katika utawala wa serikali ya awamu ya tano ni kutaka nao wasikike wakidhani yale walioyafanya wakati wakiwa madarakani wananchi wameyasahau.

Alisema kama yupo waziri mkuu ambaye ameonyesha udhaifu katika utendaji na usimamizi wa serikaki huku akishindwa kumsaidia Rais hakuna atakayempita Sumaye.

“Amekuwa waziri mkuu kwa miaka kumi kuliko waziri mkuu yeyote na kwa bahari mbaya sana ndiye waziri mkuu zero kuliko mwingine yeyote tokea tupate uhuru mwaka 1961 “alisema shaka.

Aidha Kaimu huyo katibu mkuu alimuonya sumaye akimtaka aache kumfuatafuata Dk Magufuli katika mikakati yake ya kutumikia nchi na juhudi anazichukua dhidi ya mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma nchini.
Alisema wakati Rais Magufuli akiwa katika dhamira njema na nia ya wazi iuwatumikia wananchi kwa uadilifu, uaminifu na heshima alisema kina sumaye na wenzake wafumbe midomo yao na waache mara moja kumbughudhi Rais kwa ajili ya kusaka umaarufu wa kisiasa.

“Sumaye aacha kufuatafuata Rais na kujifanya unajua wakati mambo yalikushinda wakati ukiwa PM, kama huna maneno ya kusema rudi Hanang ukalime maharage na karanga “alisema
Pia shaka aliwataka wananchi wa jinbo la Rombo kujitatayarisha ili kumpiga chini mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema Joseph Selasini kwasabahu ni dhaifu na hatoshi kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.

“Siku zake za kuitwa mbunge wa Rombo sasa zinahesabika, selasimi hajui anavhokufanya wala hajali shida na matatizo yaliopo katika jimbo lake,lazima adui huyo apigiwe mwaka 2020 “alisisitiza shaka
Akizungumza katika mkutano huo mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro Juma Raib Juma aliwakanya wananchi wa kanda ya Kaskazini kuacha mara moja tabia ya kushiriki na kuchagua vyama na wagonbea wa nafasi mbali mbali kwa ukabila, ujimbo au nasaba.

Raibu alisema ikiwa wananchi wa kaskazini sasa wanaishi katika Mikao yote ya Tanania, si jambo la maana wao wakahesabiwa kama ni wabaguzi kwa misingi ya asili au ujamaa.

“Tunachotaka kukisafanya baadhi ya wananchi wa Mikao ya Kaskazini ni kumuasi baba wa Taifa marehemu Mwalimu julius Nyerere, haiutuacha tukiwa tumegawahyika , tumeishi miaka yote hatukuongozwa kwa ukabila au udini, chadema acheni kwasabahu hilo ni baa au janga katika jamii “alisema Raib.

Jumla ya wananchi wapya 103 wa CCM na jumiya zake walijiunga na chama cha mapinduzi pia shaka alipata nafasi ya kuangalia mechi ya soka kati ya timu za kata za makiidi na mahare wilaya Rombo.

Na Woinde Shizza, Kilimanjaro
Jomba naona imekuuza sana Sumaye kupewa makavu na UVCCM.
Rais ni taasisi, ana washauri wa masuala ya uchumi, siasa, usalama, kijeshi, kijamii, fedha, uongozi na mengineo.
Suala la sumaye kujifanya anatoa ushauri kwa Magufuli ni kichekesho. Alikua waziri mkuu kipindi cha miaka 10, lawama kibao, ubabe nakadhalika.
Ametumika, muda sasa wa awamu ya tano awe mpole.
Namshauri aungane na mheshimiwa Lowassa na Chadema kujiimarisha 2020 na si vinginevyo.
Kwa taarifa yako Magufuli hana muda wa kumjibu ispokua Magufuli hujibiwa na vitengo, yeye ni kazi tu.
Siasa hupaisha na huleta maudhi, kwa kua sumaye anahamu na siasa akubali yote ya kwenye majukwaa.
 
Dunia Yote Inaamini na kujua kuwa hakuna Chama kilichobora kama CCM. Chama kinachojali na kuthamini maisha ya kila Mtanzania bila kuangalia utofauti wa Vipato vyao.

Chama kilichoamua kuwatimua mafisadi Wote na kujisafisha kwa upana Zaidi.

chama kilicholeta Umoja na mshikamano kwa watu wa DINI zote. Ni wanafiki wachache na wale waliodanganywa mabadiliko Huletwa kwa kuzunguusha mikono, ndio watakao likataa hili kuhusu CCM.

Naapa naaahidi mbele ya chama
maapinduzi nitakulinda
mpaka kufa X2
Umekunywa maji ya kijani sasa yamekulewesha, eti mmesafisha mafisadi, hebu acha utani bwana
 
Inasikitisha hata kama kila mtu ana uhuru wa kusema. Sasa jumuia ya chama inapotoa mada kama hiyo wanamdhalilisha nani-walio mlenga au wao wenyewe? Labda wanahitaji uongozi tofauti ulio makini zaidi.
 
Kasi ya kupungua tembo imeongezeka sana. 60% ndani ya mwaka mmoja. Kenya wanachoma meno ya tembo yaliyokamatwa, Tanzania hawataki. Halafu waseme wamemaliza mafisadi.
Mkuu ukiwa mwana CCM unatakiwa ujifanye huoni hata km unaona, hata shetani ni shahidi ktk hili kuwa CCM ni chama cha majizi, na ni asili yao ngumu kuacha
 
Back
Top Bottom