Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 177
- 495
Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
🤓 ndivyo ilivyotatizo hata wana ndugu hawana mda nawe wanakupenda tuh na ulichonacho.
Analishwa kwanza😁kwaiyo apo ushamaliza kuandika izo faida umemaliza au unaumwa sana huez kuandika vizuri 🤔
Umepata kilicho chema mwaya achana na hao wengine wenye bahati mbaya
mbona mimi nalishwa kila siku na sijaoaAnalishwa kwanza😁
Mke ni bonge la mambo Bomba mkazuzuKama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saiv.nimeumua balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Ukute nae hajaoa kama weye,amempata wa kumlisha😁mbona mimi nalishwa kila siku na sijaoa
HONGERA.Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saiv.nimeumua balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.