Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Kwahiyo mnataka kunambia ccm limbwata limbwata lao halifanyi kazi tena.
Kwishney,mkuu! Yule mzee wa mwembechai si alishakufa au umesahau,mkuu!Kwahiyo mnataka kunambia ccm limbwata limbwata lao halifanyi kazi tena.
Una hoja mkuu. Tusipokee tu manake hata wakati wa mchakato wa kujadili mswada wa mchakato wa katiba tulizushiwa Babu wa Loliondo na attention yetu ikawa huko. Sasa hawa jamaa wanataka kujustify posho nasi sasa tunashangilia na kuwaona leo wamefanya kazi za kibunge. In a way tunabariki posho na baada ya muda anarudi kuwa wapiga mihuri.egoli ingine,tunapumbazwa ili tusahau habari ya posho.siliamini hili bunge wala chama twawala wala rais wao m kwere
Ndugai; a standing ovation on this one!
This is a good surprise for new year 2012. You can very well be ANOTHER SAMUEL SITTA standards and speed only if you chose the path to be exactly that of a balance speaker of the National Assembly at mind and in action.
Do your BioChemistry here brother to the advantage of the weak and the voiceless majority in Tanzania. Seriously speaking, you can be another Samuel Sitta for our nation.
Jamani namhurumia jaji Werema, ameshindwa kujenga hoja akaishia kutishia kuwa yeye bado ni jaji hajanyang'anywa ujaji wake, mwisho wa siku, jembe-Tundu Lisu akamzamisha kwa hoja nzito.
sijalisiki hilo 'jimama' lakini kwa jins ulivyolielezea,lazma pat taim job yake ni nanihii..., . Bravo waheshmiwa,ingawa wakat mwingine hamtutendei haki watz
Jimama sauti yake kama alikuwa kalala akakurupushwa. Wabunge mngekomaa kama leo ishu ya madaktari ingekuwa imeshapatiwa ufumbuziKuna sauti ya jimama fulani anakubali then anakaata halafu sijui kachakachua microphone yake maana dah lina sauti balaaaaaaaaaaaaa!
Ila kweli maslahi ya taifa mbele. Big up