Kwa kidato cha nne ambae alirudia masomo sita anaweza kupata cheti NECTA?

Atapata endapo ana ufaulu wa angalau masomo mawili.
Kumbuka ufaulu katika somo unaanzia D.
 
Back
Top Bottom