dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Hahahahahahha mh jomo KenyattaHivi kwwli majirani mnashindwa kuchomoa hata simu zenu kwa pamoja kurekodi hilo tukio? Unadhani mngetoa simu kwa pamoja angeendelea na upumbavu wake?
Kuna mtu alisema “ NYERERE ANAONGOZA MAITI” Kuna kwa ukweli ndani yake
Haitokaa itokee waruhusu hilo,wataokota mizoga ya polisi mabarabarani.But all in all, Sheria za Umiliki wa Silaha hapa Tanzania zinatakiwa kubadilishwa, kumiliki bunduki iwe iwe ni HAKI ya kila raia mwenye akili timamu hapa nchini.
Sahihi kabisaIfike wakati hata nyinyi majirani muwe na akili timamu vichwani mwenu. Kwa Askari Polisi yoyote yule anayekuja kumkamata mtu kwa utaratibu kama huo ulioeleza huyo atakuwa ni Mhalifu, wala siyo Askari Polisi. Utaratibu wa kukamata Watuhumiwa upo wazi umeelezwa ktk Sheria za nchi.
Majirani mlipaswa kutoa ushirikiano kwa Mwananchi mwenzenu, mlipaswa kumkabili vilivyo huyo Askari Polisi kwa sababu alikuwa ni mhalifu kama Wahalifu wengine, ni jambazi au mtekaji.
But all in all, Sheria za Umiliki wa Silaha hapa Tanzania zinatakiwa kubadilishwa, kumiliki bunduki iwe iwe ni HAKI ya kila raia mwenye akili timamu hapa nchini.
Kweli mkuuKuna kizazi fulani inabidi kiishe chote ndo hii nchi itaendelea
Na alitakiwa aende na kiongozi wa serikali ya mtaaMimi niliendelea na mjukumu yangu mpaka naondoka majira ya saa tisa hakurudi. Sasa Kuna maswali najiuliza ni kwanini askari atumie nguvu kubwa namna Ile kisa kaulizwa kitambulisho cha kazi?
Mngeichoma moto hiyo STM 5771Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale Maaskari walikuwa wakifanya vile kwa matakwa Yao binafsi.
Ilikuwa majira ya saa Saba mchana Askari alifika kwa jirani yangu kwa lengo la kumuhitaji mke kwa lengo la kumkamata na kwenda naye polisi kwa bahati mbaya hawakumkuta kwani alikuwa kazini.
Nilisikia akimuuliza jiani mke wako Yuko Mimi ni Askari, jirani yangu akamjibu ni vema ukanionyesha kitambulisho chako kama kweli ni Askari Ili tuendelee na mazungumzo ghafra yule Askari akamjibu ngoja nikuonyeshe kitambulisho angiza mkono mfukoni na kutoa pingu na kumfunga jirani yangu.
Baada kumfunga pingu akaanza kumshambulia kwa ngumu mateke vichwa huku jirani yangu akihoji kuomba kitambulisho ni kosa? Wakati huo gari no STM 5771 land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu ikiwa imepaki karibu na kwangu hapa kukiwa na Askari mmoja na mtumishi wa Gmicrofinance ambayo IPO karibu na Magorofa ya Mpwapwa Frats.
Kwa bahati nzuri yule mwanyakazi wa Gmicrofinance namfahamu anaitwa Andrew lakini Moja ya wale Askari huwa namuona sana pale kwenye kituo kidago kinaitwa Ndashi kwenye mataa njia ya kwenda Dodoma in walimpakia jirani yangu na kutokomea naye kusikojulikana.
Mimi niliendelea na mjukumu yangu mpaka naondoka majira ya saa tisa hakurudi. Sasa Kuna maswali najiuliza ni kwanini askari atumie nguvu kubwa namna Ile kisa kaulizwa kitambulisho cha kazi?
Pili ni kwanini taasisi binafsi ya Gmicrofinance (kausha damu) itumie gari la serikali kupitia mtaani kukamata wadeni wake na askari ambao hawana uniform Wala vitambulisho lakini pia hii ni hatari kwa usalama wa Askari kwani muda mfupi tayari majirani walisha jaa, pengine ingeleta uvunjifu wa amani
Na Mimi nimewaza kama wewe Gari la serikali linatumiwa na kausha damu kukusanya madeni mtaani choma hilo gari pengine serikali itajua matumizi sahihi ya mali za serikali ukute hiyo Gmicrofinance hata Kodi hawalipiMngeichoma moto hiyo STM 5771
Walifanya kosa sanaNa Mimi nimewaza kama wewe Gari la serikali linatumiwa na kausha damu kukusanya madeni mtaani choma hilo gari pengine serikali itajua matumizi sahihi ya mali za serikali ukute hiyo Gmicrofinance hata Kodi hawalipi
Kwa maelezo ya mleta mada limetokea tarehe 25.4.2024 saa saba mchanaTukio hili limetokea lini mkuu
Huyo Askari wa kituo kidogo Cha ndasha pale mataa barabara ya DODOMA in anaitwa waziri nilimuona hiyo siku kwenye hiyo gari STM 5771 pale njia Panda ya chamwino ikulu Kuna Askari wanavaa gwanda za polisi ila ni majambaziNianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale Maaskari walikuwa wakifanya vile kwa matakwa Yao binafsi.
Ilikuwa majira ya saa Saba mchana Askari alifika kwa jirani yangu kwa lengo la kumuhitaji mke kwa lengo la kumkamata na kwenda naye polisi kwa bahati mbaya hawakumkuta kwani alikuwa kazini.
Nilisikia akimuuliza jiani mke wako Yuko Mimi ni Askari, jirani yangu akamjibu ni vema ukanionyesha kitambulisho chako kama kweli ni Askari Ili tuendelee na mazungumzo ghafra yule Askari akamjibu ngoja nikuonyeshe kitambulisho angiza mkono mfukoni na kutoa pingu na kumfunga jirani yangu.
Baada kumfunga pingu akaanza kumshambulia kwa ngumu mateke vichwa huku jirani yangu akihoji kuomba kitambulisho ni kosa? Wakati huo gari no STM 5771 land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu ikiwa imepaki karibu na kwangu hapa kukiwa na Askari mmoja na mtumishi wa Gmicrofinance ambayo IPO karibu na Magorofa ya Mpwapwa Frats.
Kwa bahati nzuri yule mwanyakazi wa Gmicrofinance namfahamu anaitwa Andrew lakini Moja ya wale Askari huwa namuona sana pale kwenye kituo kidago kinaitwa Ndashi kwenye mataa njia ya kwenda Dodoma in walimpakia jirani yangu na kutokomea naye kusikojulikana.
Mimi niliendelea na mjukumu yangu mpaka naondoka majira ya saa tisa hakurudi. Sasa Kuna maswali najiuliza ni kwanini askari atumie nguvu kubwa namna Ile kisa kaulizwa kitambulisho cha kazi?
Pili ni kwanini taasisi binafsi ya Gmicrofinance (kausha damu) itumie gari la serikali kupitia mtaani kukamata wadeni wake na askari ambao hawana uniform Wala vitambulisho lakini pia hii ni hatari kwa usalama wa Askari kwani muda mfupi tayari majirani walisha jaa, pengine ingeleta uvunjifu wa amani
Nchi ngumu hiiHuyo Askari wa kituo kidogo Cha ndasha pale mataa barabara ya DODOMA in anaitwa waziri nilimuona hiyo siku kwenye hiyo gari STL 5771 pale njia Panda ya chamwino ikulu Kuna Askari wanavaa gwanda za polisi ila ni majambazi
Watu wameamua kuwa majambazi tu Bora mkono uende kinywani
STM 5771 Toyota Hilux 2.4 double cabin ya kijivu kuna wadau humu watakuwa wameitambua nafkiri huyo mmiliki wa hiyo kampuni ya Gmicrofinance atakuwa na vinasaba vya hiyo gariNaomba kuelekezwa namna ya kuangalia namba ya gari inamilikiwa na nani/ taasisi gani
Askari anatoka mjini anakwenda kupiga tukio chamwino ikulu nchi imeshaoza hiiKwa maelezo ya mleta mada limetokea tarehe 25.4.2024 saa saba mchana
Huko nikuto jiamini. Ole wake angemsemesha kiinglish. Hoooooo pangewaka motoMimi niliendelea na mjukumu yangu mpaka naondoka majira ya saa tisa hakurudi. Sasa Kuna maswali najiuliza ni kwanini askari atumie nguvu kubwa namna Ile kisa kaulizwa kitambulisho cha kazi?
Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale Maaskari walikuwa wakifanya vile kwa matakwa Yao binafsi.
Ilikuwa majira ya saa Saba mchana Askari alifika kwa jirani yangu kwa lengo la kumuhitaji mke kwa lengo la kumkamata na kwenda naye polisi kwa bahati mbaya hawakumkuta kwani alikuwa kazini.
Nilisikia akimuuliza jiani mke wako Yuko Mimi ni Askari, jirani yangu akamjibu ni vema ukanionyesha kitambulisho chako kama kweli ni Askari Ili tuendelee na mazungumzo ghafra yule Askari akamjibu ngoja nikuonyeshe kitambulisho angiza mkono mfukoni na kutoa pingu na kumfunga jirani yangu.
Baada kumfunga pingu akaanza kumshambulia kwa ngumu mateke vichwa huku jirani yangu akihoji kuomba kitambulisho ni kosa? Wakati huo gari no STM 5771 land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu ikiwa imepaki karibu na kwangu hapa kukiwa na Askari mmoja na mtumishi wa Gmicrofinance ambayo IPO karibu na Magorofa ya Mpwapwa Frats.
Kwa bahati nzuri yule mwanyakazi wa Gmicrofinance namfahamu anaitwa Andrew lakini Moja ya wale Askari huwa namuona sana pale kwenye kituo kidago kinaitwa Ndashi kwenye mataa njia ya kwenda Dodoma in walimpakia jirani yangu na kutokomea naye kusikojulikana.
Mimi niliendelea na mjukumu yangu mpaka naondoka majira ya saa tisa hakurudi. Sasa Kuna maswali najiuliza ni kwanini askari atumie nguvu kubwa namna Ile kisa kaulizwa kitambulisho cha kazi?
Pili ni kwanini taasisi binafsi ya Gmicrofinance (kausha damu) itumie gari la serikali kupitia mtaani kukamata wadeni wake na askari ambao hawana uniform Wala vitambulisho lakini pia hii ni hatari kwa usalama wa Askari kwani muda mfupi tayari majirani walisha jaa, pengine ingeleta uvunjifu wa amani
Kwamba serikali imabariki huu uhuni!Ndo hali ya hii nchi, poleni sana wa Tanzania, wala huna haja ya kuwaambia, haya hufanyika bila kificho na popote.
Alafu OCD wa chamwino hajuiAskari anatoka mjini anakwenda kupiga tukio chamwino ikulu nchi imeshaoza hii
Hao SI ni form 4 na D 2? Akili hamna!Kwahiyo imekuwa ni mtindo,
Dah nchi inapelekwa wapi hii Ina maana magari ya serikali yanatumika kwenye mishe za watu binafsi mala kubebea wahamiaji haramu mala mihadarati kweli kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake maana STM 5771 hii gari ni mali ya serikali sasa na kausha damu wapi na wapi!? Matumizi mabovu ya Mali za serikali kwahiyo Kodi ya wananchi ndiyo matumizi yake.!!?