Mkuu sikuwa na simu kubwa ila nilijitahidi kuandika namba za gari STM 5771 Land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu Mpya dereva Mzee hivi amevaa miwani pia polisi walikuwa wababe walikuwa wanamshambulia jamaa uku wamemfunga pingu yaani kama jambazi mateke vichwa ngumi ni hatarihukupata hata mwanya wakuwasha camera yako kisirisiri kwa mbali
Wanatembeaga na bunduki mkuuIfike wakati hata nyinyi majirani muwe na akili timamu vichwani mwenu.
Haya maelezo bila kaushahidi cha unyama tutaishia kumpa pole tu, au wewe unaweza kushuhudia?Mkuu sikuwa na simu kubwa ila nilijitahidi kuandika namba za gari STM 5771 Land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu Mpya dereva Mzee hivi amevaa miwani pia polisi walikuwa wababe walikuwa wanamshambulia jamaa uku wamemfunga pingu yaani kama jambazi mateke vichwa ngumi ni hatari
Mkuu ungerekodi ukamtumia kigogo au mange watusaidie kutupostia hao watu pale NEW YORK BOARD SQUARE.Mkuu sikuwa na simu kubwa ila nilijitahidi kuandika namba za gari STM 5771 Land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu Mpya dereva Mzee hivi amevaa miwani pia polisi walikuwa wababe walikuwa wanamshambulia jamaa uku wamemfunga pingu yaani kama jambazi mateke vichwa ngumi ni hatari
Maelezo yanatosheleza kabisa. Usajili wa gari hizonamba ni utambulisho tosha wakuanzia. Kwakuwa inajulikana gari ni mali ya nani na siku hiyo muda huo alikuwa nayo nani so huyo dereva atasaidia kusema aliokuwa nao kwenye hilo tukio.Haya maelezo bila kaushahidi cha unyama tutaishia kumpa pole tu, au wewe unaweza kushuhudia?
Kama waliweza kuwa na pingu basi na siraha uwenda walikuwa nayo na vile vile ukute mabosi wao hawajui hiyo operation mtafuteni kamanda wa mkoa mjulisheniWanatembeaga na bunduki mkuu
Sahihi kabisa pia huyo Andrew wa hiyo Gmicrofinance anafahamika pia itasaidia maana jamaa kataja mpaka eneo ilipo ofisi hata huyo Askari ambaye kituo chake cha kazi kinafahamikaMaelezo yanatosheleza kabisa. Usajili wa gari hizonamba ni utambulisho tosha wakuanzia. Kwakuwa inajulikana gari ni mali ya nani na siku hiyo muda huo alikuwa nayo nani so huyo dereva atasaidia kusema aliokuwa nao kwenye hilo tukio.
Nafkiri kama uchunguzi utafanyika upo ushahidi wa mazingira kwasababu tukio limetokea mchana na kuna baadhi ya vielelezo vimeonekana kwanza dereva wa hiyo gari ni shahidi toshaHaya maelezo bila kaushahidi cha unyama tutaishia kumpa pole tu, au wewe unaweza kushuhudia?
Jirani yako akirudi mwambie akavunje chungu hakuna namnaNianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale Maaskari walikuwa wakifanya vile kwa matakwa Yao binafsi.
Ilikuwa majira ya saa Saba mchana Askari alifika kwa jirani yangu kwa lengo la kumuhitaji mke kwa lengo la kumkamata na kwenda naye polisi kwa bahati mbaya hawakumkuta kwani alikuwa kazini.
Nilisikia akimuuliza jiani mke wako Yuko Mimi ni Askari, jirani yangu akamjibu ni vema ukanionyesha kitambulisho chako kama kweli ni Askari Ili tuendelee na mazungumzo ghafra yule Askari akamjibu ngoja nikuonyeshe kitambulisho angiza mkono mfukoni na kutoa pingu na kumfunga jirani yangu.
Baada kumfunga pingu akaanza kumshambulia kwa ngumu mateke vichwa huku jirani yangu akihoji kuomba kitambulisho ni kosa? Wakati huo gari no STM 5771 land cruiser double cabin ya rangi ya kijivu ikiwa imepaki karibu na kwangu hapa kukiwa na Askari mmoja na mtumishi wa Gmicrofinance ambayo IPO karibu na Magorofa ya Mpwapwa Frats.
Kwa bahati nzuri yule mwanyakazi wa Gmicrofinance namfahamu anaitwa Andrew lakini Moja ya wale Askari huwa namuona sana pale kwenye kituo kidago kinaitwa Ndashi kwenye mataa njia ya kwenda Dodoma in walimpakia jirani yangu na kutokomea naye kusikojulikana.
Mimi niliendelea na mjukumu yangu mpaka naondoka majira ya saa tisa hakurudi. Sasa Kuna maswali najiuliza ni kwanini askari atumie nguvu kubwa namna Ile kisa kaulizwa kitambulisho cha kazi?
Pili ni kwanini taasisi binafsi ya Gmicrofinance (kausha damu) itumie gari la serikali kupitia mtaani kukamata wadeni wake na askari ambao hawana uniform Wala vitambulisho lakini pia hii ni hatari kwa usalama wa Askari kwani muda mfupi tayari majirani walisha jaa, pengine ingeleta uvunjifu wa amani