Kwa jinsi nilivyowaona mabalozi wetu leo yawezekana huko duniani hali ya uchumi ni ngumu kuliko Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,338
142,570
Kwanza sikuamini kama kweli wale ndio mabalozi wetu huko duniani lakini nilipowaona Dr Possi, Dr Slaa, Dr Migiro na mh Masilingi ndipo nikaamini.

Kiukweli kwa haraka unaweza ukawaona maDC wetu hapa nyumbani wana " shavu dodo" kuliko mabalozi wetu huko ughaibuni.

Labda mkuu Nyani Ngabu type uzoefu wa hali ya maisha huko Merekani ikoje maana kama mabalozi no wakavu hivi nyie kina Ngabu wabebaji hali ikoje?!!

Maendeleo hayana vyama!
 
Wanatafuna mabilioni kwa mambo yasiyo na lazima halafu utasikia mtu anasema anabana matumizi!!!

Nways,hali ya hewa labda haijawakubali,afya na pengine uzee maana wote hao ni wakongwe na huwaoni mara kwa mara so siku unawaona unaona mabadiliko tofauti kama ungewaona kila siku!
 
Kwanza sikuamini kama kweli wale ndio mabalozi wetu huko duniani lakini nilipowaona Dr Possi, Dr Slaa, Dr Migiro na mh Masilingi ndipo nikaamini.

Kiukweli kwa haraka unaweza ukawaona maDC wetu hapa nyumbani wana " shavu dodo" kuliko mabalozi wetu huko ughaibuni.

Labda mkuu Nyani Ngabu type uzoefu wa hali ya maisha huko Merekani ikoje maana kama mabalozi no wakavu hivi nyie kina Ngabu wabebaji hali ikoje?!!

Maendeleo hayana vyama!
mkuu kule wanafanya dayatii ili waendane na miili ya kizungu.
 
Kwanza sikuamini kama kweli wale ndio mabalozi wetu huko duniani lakini nilipowaona Dr Possi, Dr Slaa, Dr Migiro na mh Masilingi ndipo nikaamini.

Kiukweli kwa haraka unaweza ukawaona maDC wetu hapa nyumbani wana " shavu dodo" kuliko mabalozi wetu huko ughaibuni.

Labda mkuu Nyani Ngabu type uzoefu wa hali ya maisha huko Merekani ikoje maana kama mabalozi no wakavu hivi nyie kina Ngabu wabebaji hali ikoje?!!

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu baadhi ya nchi kitambi ni ugonjwa.
 
Enzi za JK bana ndio ubalozini kulinoga,kwasasa nafuu mkuu wa wilaya hata huko HAI au Meru .Walau unakumbana na fursa hata ma deals yakununua wapinzani.Pia ka mgao ka 1.5 trln wanaambulia japo ..
 
Kwanza sikuamini kama kweli wale ndio mabalozi wetu huko duniani lakini nilipowaona Dr Possi, Dr Slaa, Dr Migiro na mh Masilingi ndipo nikaamini.

Kiukweli kwa haraka unaweza ukawaona maDC wetu hapa nyumbani wana " shavu dodo" kuliko mabalozi wetu huko ughaibuni.

Labda mkuu Nyani Ngabu type uzoefu wa hali ya maisha huko Merekani ikoje maana kama mabalozi no wakavu hivi nyie kina Ngabu wabebaji hali ikoje?!!

Maendeleo hayana vyama!
Ukiwaona tu kwa macho unajua hawhawakutenda kosa.. Na wewe umeangalia tu kwa macho hao 42 diplomats ukaona huko kuna hali mbaya kuliko Tanzania 🇹🇿........?.
 
Back
Top Bottom