Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,273
- 11,773
Jmosi nilibahatika kuudhuria mnada pale sinza wa vitu used kutoka balozi mbalimbali, vitu vilikua tofautitofauti kama magari,furniture,electronics,generators nk
Baada ya kushinda bid ulikua unaenda kulipia cash kwa items ndogondogo na 25% ya items kubwa then unamalizia malipo within 4workn days baada ya malipo unaenda kwenye benchi la TRA kulipia kodi ya ulichonunua.
Kodi zao walikua wanacharge 77% kwa funiture,43% kwa electronics 87% kwenye magari
Swali langu....
Kwa items kama furniture na electronics ambazo nyingi zilikua hazipo kwenye goodshape zinatozwaje kodi tena kwa mnunuzi mnadani wakati hiyo item ishalipiwa kodi wakati inaingizwa nchini
Note;items nyingine zimenunuliwa locally