Kwa sababu hajawahi shiriki ligi dhaifu kama Yetu.....Ila hajawahi kushinda Kombe lolote lile la Ligi ambazo amewahi kushiriki.
Sii Uchebe wala Kishingo waliokuja Simba kwasababu ya historia za walipotoka, hawakua na mafanikio yeyote as coaches walipotoka , Gomez pekee ndio kaja na CV ya maanaIla hajawahi kushinda Kombe lolote lile la Ligi ambazo amewahi kushiriki.
Amewahi kufundusha SABURTALO timu kutoka nchini Georgia.Kwa sababu hajawahi shiriki ligi dhaifu kama Yetu.....
14,000 x 2300 =32,200,00.Kinachoshamgaza zaidi kama angekuwa kocha mzuri basi hata asingekubali kuacha mshahara mkubwa kutoka Al Quadisiya ili aje kulipwa milioni 21 huku Bongo.
Una maanisha ubora wa kocha sio muhimu.Sii Uchebe wala Kishingo waliokuja Simba kwasababu ya historia za walipotoka, hawakua na mafanikio yeyote as coaches walipotoka , Gomez pekee ndio kaja na CV ya maana
Simba tayari inajitosheleza yenyewe as Club, kuwa tu kocha hapo una 75% za kufanikiwa , juhud zako kidogo unashusha makombe ya kutosha
Hesabu zangu zimezingatia na zimetoa makato yote na kubakisha "Take Home".14,000 x 2300 =32,200,00.
Usipotoshe kila kitu kwa kujitekenya
asingekubali kuacha mshahara mkubwa kutoka Al Quadisiya ili aje kulipwa milioni 21 huku Bongo.
Kozi za leseni za ngazi tofauti tofauti zinatolewa na mashirikisho ya soka.Wapi wanafundisha ukocha ndugu yangu...
We Binti tuliza tundu hilo. kwani nyie si tiyari mumeshatwaa ubingwa msimu huu? ACHA UMBEA UTAKUJA KUPAKWA MAFUTA.Ila hajawahi kushinda Kombe lolote lile la Ligi ambazo amewahi kushiriki.
Aloooo.....Amewahi kufundusha SABURTALO timu kutoka nchini Georgia.
Ligi ya Georgia ni dhaifu kuliko Ligi Kuu Tanzania. Na bado hakufanikiwa kushinda Ligi zaidi ya kunusurika kuishusha Daraja Saburtalo.
Aliajiliwa mwezi wa 3 na akafukuzwa mwezi wa 12.
Oya wewe Jamaa .....ππππPablo Franco!!??
haya majina ya wauza sembe......
kwa hiyo Simba wamefikia hatua hii!?
inasikitisha sana!
Yeah kama ilivyo kwa yule mwenye jina la kigaidi anawafundish NYANI wa mbuga ya jangwani.Pablo Franco!!??
haya majina ya wauza sembe......
kwa hiyo Simba wamefikia hatua hii!?
inasikitisha sana!
Ole sio wa kwanza hapo OTUna maanisha ubora wa kocha sio muhimu.
Man UTD inajitosheleza kwa rasilimali za aina zote.
Kwanini Ole Gunner ajafanikiwa kuweza 'juhudi kidogo' ili naye ashushe makombe OT.
Frank Lampad vs Chelsea.
Pocchetino vs PSG last season.
Kocha wenu mpya amepitia timu tofauti tofauti 12.Ole sio wa kwanza hapo OT
Kapita Jose Mourinho kapita LVG , makocha wenye CV zao
Ni mjinga mmoja tu anaeweza questions uwezo wa kocha ambae amekua kocha mkuu club inayocheza Laliga na pia amekua kocha msaidiz club bora ya dunia kufundisha Simba sc , ni kapuuz kamoja tu ndio kanaweza simama mbele za watu kuongea huo ujinga