Kwa Huyu kipa Simba tumepigwa na kitu kizito

HUU UZI UTAKUWA REFERENCE FIMBO KALI YA KUWWACHAPIA VIONGOZI WA SIMBA

Wakati manula anafungwa tano tano kwenye champion league nae mlikuwa mnambeza hivi hivi! Lakini mwishoni mkampigia makofi.
 
Hujui mpira wewe. Unatoa conclusion kwa mchezaji ktk game moja? Huko mazoezini unajua alimshawishi vp kocha? Ninachoona mm robatinyo hajui kuipangilia vzr mifumo ya timu so far wachezaji wanatunia uwezo wao binafsi.
Kwakweli simba ni inawacheza wazuri tatizo pale ni coach yule coach simkubali kabisa..
Hajui kupanga kikosi cha ushindani
 
Mi naona kama anaokota mipira badala ya kuidaka.
Yaani siioni mikalio ya udakaji mpira, ukimtazama anavyo jiposition golini unaona kabisa kuwa sio Golikipa mwenye kipaji chake.

Unajua mcheza mpira anapokokota mpira unajua huyu ni mchezaji au sio mchezaji.
Huyu Ayubu kaa kaa yake golini inatatiza kabla ya kuanza kudaka mpira.
Sitegemei kama anaweza kumzidi Manula au Salim au Abeli.
 
Hili bao la leo ni uzembe wa nani?
Golikipa ana jukumu la kuongea na Mabeki wake na kuwapanga maana anaona uwanja mzima kama anashambuliwa au kushambulia.

Ayubu haongei chochote na mabeki wake.
Kwa sasa ni mala elfu adake Ally Salim. Yeye aendelee kujifua na kuizoea timu na wachezaji wake na sikujui kama anaongea lugha nyingine zaidi ya Kiarabu.
 
We jamaa ulikuwa unaangalia mpira au ndo mashabiki mihemko, kipa alikuwa anaongea saana na beki line yake, mechi hii ya chamazi hajafanya kosa hata Moja.
 
We jamaa ulikuwa unaangalia mpira au ndo mashabiki mihemko, kipa alikuwa anaongea saana na beki line yake, mechi hii ya chamazi hajafanya kosa hata Moja.
We kwa uzoefu wako wa kuangalia mechi au hata kuwa mchezaji nakuuliza unijibu.
Ayubu ni Golikipa wa kiwango cha kuicheza Simba.

Unaweza kumfananisha na golikipa gani wa hapa Tanzania ?
Ongea
 
Back
Top Bottom