kasukububu
Member
- Jan 9, 2013
- 63
- 25
kwani ni mambo gani serikali inatumia/imetumia akili? kama yapo ni kwahisani ya wazungu
Nunua kifurushi cha mwez uone kama na ww utakua umeongeza tisa,hawa jamaa ni wehu kabisa,lengo lao tushindwe kujadili mambo ya ufisad na hiyo danganya toto la ambon tanga19999 kwa 250mb???????
Au umeengeza tisa moja mkuu?