Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 26, mtanzania, najituma na niko tayari kufanya kazi yeyote ile. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi yeyote napatikana kwa 0752777680 Elimu yangu ni diploma ya logistics and transport management,ila isiwe kikwazo cha wewe kunisaidia endapo unashughuli tofauti na fani yangu, Nawasilisha.