Kwa hili naipongeza Serikali yetu!

Kwa hili naipongeza Serikali yetu!

scramble

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
1,593
Reaction score
257
3211.jpg
Muh. Charles Tizeba, Naibu Waziri wa Uchukuzi. Kwa muda wa miezi miwili sasa kuna mengi yameandikwa kuhusu kudorora kwa mahusiano kinchi kati ya Tanzania na Rwanda. Lisemwalo lipo lakini jambo hili limechochewa na kukuzwa na vyombo vya habari.

Wengi tulikua tunahisi kuwa hatua itakayofuata ni kila nchi kumrudisha balozi wake nyumbani. Wiki iliyopita kuna habari ilizagaa kuwa Rwanda na Uganda hazitotumia tena Bandari ya Dar kuanzia Sept. 1. Habari hii ina ukweli japo Rwanda na Uganda hazikutoa tamko la mwisho la kukotumia bandari yetu. Ilikua ni tahadhari ya awali.

Mwishoni mwa wiki, Naibu Waziri wa Uchukuzi Muh. Charles Tizeba alitumwa na Serikali kwenda Rwanda kukutana na Waziri mwenzake pamoja na wafanyabiashara wanaotumia bandari ya Dar. Lengo la ziara lilikua kuweka mambo sawa ili bandari yetu iendelee kutumiwa na Rwanda.

Muh. Tizeba aliwaambia wafanyabiashara na waziri wa uchukuzi wa Rwanda kuwa alimtuma mtu kutoka wizarani ili akasafiri kwenye lori kwa lengo la kushuhudia kero za barabarani. "Yule niliemtuma alisema kuwa walisimamishwa njiani mara 107. Ni kwenye mizani na check points za polisi na TRA. Kuanzia leo tumepunguza idadi ya mizani kwa malori ya Rwanda. Lori zitapimwa Vigwaza, Singida na mpakani. Vituo vitatu tu. Watu wa TRA na POlisi nao watacheki malori kwenye hizo mizani." Jambo hili liliwafurahisha wafanyabiashara ukizingatia kuwa bandari ya dar ipo karibu na Rwanda kuliko ile ya Mombasa. Wameahidi kutumia bandari ya Dar.

Naipongeza serikali kwa kwenda Rwanda haraka iwezikanavyo. Waziri aende Uganda kwa lengo hilohilo! Kama mawaziri wote wangekua wana react immediately, tungekua mbali kimaendeleo. Hongera Mwakyembe na Tizeba!

WanaJF, hivi ni lazima vituo viwe vingi kiasi hiki!? Hamdhani kuwa suala la utitiri wa mizani na check points linahitaji mjadala wa kitaifa? Basi la kwenda Tanga kutoka Dar linapimwa Kibaha, Msata na Tanga kabla ya kuingia Stendi. Hivi pana haja ya kupima basi mara tatu au zaidi? Nawasilisha!
 
MSUKULE ni mtu aliechukuliwa kwa nguvu za giza ili atumike kwenye shughuli zisizohitaji akili kama kulima shamba kwa faida ya mwenye Msukule. Chadema inawatumia vijana wasiojitambua kama misukule kwenda kufanya maandamano yasiyo halali na vurugu huku wao viongozi wakipokelewa na watoto na wake zao wakiwa na sukari na mkate na pia wanakaa majumbani kwao wakiwaangalia kwenye TV wanavyokula mkong'oto. Wakati sisi tuliandamana tunaingia nyumabani tukijificha na ukuta hadi kitandani tuwaacha watoto wetu wakipiga miayo sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini kumbe baba alikuwa anarukaruka barabarani akiwatengenezea watu wengine maisha,

Ish....are you ok upstairs?......could anyone tell me what this guy was trying to say?
 
Umemshangaa kama mimi. Mada inazungumzia juhudi za wizara ya uchukuzi kurudisha imani ya wateja wa bandari ya dsm
halafu mtu anakurupuka usingizini kulalamikia viongozi wa chadema! Huyu mkurupukaji ananidhihirishia wazi kwamba yeye ni mmoja wa wale wasiokuwa na akili timamu!
 
the problem with many guys on JF is hating discussing national issues. they like discussing people while using abusive language. in other countries, topics regarding national interest like this one I have posted, usually get a big number of people contributing positively or negatively.
 
tatizo ni kwamba tunachanganya siasa na maslahi ya taifa. hili suala la uchumi ni tatizo la kitaifa. wengi hapa jamii forum wanapenda kudiscuss sana watu kuliko mambo yanayo ihusu nchi yetu kwa ujumla. serikali ikikosea isemwe. ikifanya vizuri isifiwe. wengine wanaona kuwa kumsifu waziri wa ccm ni kosa
 
this is a great achievement, let me dig my source nicomfirm hizi habari kama ni za kweli, maana september mosi ndio wafanya biashara wa rwanda na uganda waliafikiana waache kutumia bandari yetu, but if it is true big up kwa mshua tunahitaji kukimbia sio kulala, na hii isiwe tu kwa rwanda peke ake na nchi jirani zingine ili kukuza uchumi wa nchi yetu, tunatakiwa kuwa na viongozi kama hawa wana act immediately rather than ngonjera za sina madaraka!!! gari yoyote ya transit na nyingi zimefungwa king'amuzi mtu kucheza faulo ni kidogo na lazima tuwe na mizani standard ya kuwa mtu anapima bandarini inasoma safi anakuja kibaha safi anaenda mikese safi anafika mikumi mzigo umezidi anafika makambako upo sawa anaenda uyole mzigo umezidi wakati gari nyingi zinabeba standard ya tani 32 so kuna extra ya tani mbili ambazo mara nyingi ni mafuta ambayo ni tani moja mpaka na nusu.

tusibweteke tuchukue hatua la tutabaki tumeduwaaa wenzetu wanakimbia

big up kyembe na tzeba
 
Mkuu scramble wameamua magari ya Rwanda tu ndiyo hayatapima kwenye hizo mizani ulizozitaja au ni magari yote ambayo yanapita kwenye njia hiyo? Nasikia mizani ziko chini ya kamanda John Pombe Magufuli lakini aliyetoa tamko ni Tizeba hakutakuwa na mgongano wa mawazo hapo manake siku hizi mambo yanaenda segemnege.
 
Last edited by a moderator:
MSUKULE ni mtu aliechukuliwa kwa nguvu za giza ili atumike kwenye shughuli zisizohitaji akili kama kulima shamba kwa faida ya mwenye Msukule. Chadema inawatumia vijana wasiojitambua kama misukule kwenda kufanya maandamano yasiyo halali na vurugu huku wao viongozi wakipokelewa na watoto na wake zao wakiwa na sukari na mkate na pia wanakaa majumbani kwao wakiwaangalia kwenye TV wanavyokula mkong'oto. Wakati sisi tuliandamana tunaingia nyumabani tukijificha na ukuta hadi kitandani tuwaacha watoto wetu wakipiga miayo sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini kumbe baba alikuwa anarukaruka barabarani akiwatengenezea watu wengine maisha,

We si mzima hata kidogo, na mtan'golewa tu hata kama si 2015.
 
Car Tracking inafanya kazi? isijekuwa wanataka kupitisha mabomu...

Ila Matrafic njiani ni Too much... Njaa sana... utadhania wameajiliwa kwa ajili ya kula rushwa na usumbufu...
 
3211.jpg
Muh. Charles Tizeba, Naibu Waziri wa Uchukuzi. Kwa muda wa miezi miwili sasa kuna mengi yameandikwa kuhusu kudorora kwa mahusiano kinchi kati ya Tanzania na Rwanda. Lisemwalo lipo lakini jambo hili limechochewa na kukuzwa na vyombo vya habari.

Wengi tulikua tunahisi kuwa hatua itakayofuata ni kila nchi kumrudisha balozi wake nyumbani. Wiki iliyopita kuna habari ilizagaa kuwa Rwanda na Uganda hazitotumia tena Bandari ya Dar kuanzia Sept. 1. Habari hii ina ukweli japo Rwanda na Uganda hazikutoa tamko la mwisho la kukotumia bandari yetu. Ilikua ni tahadhari ya awali.

Mwishoni mwa wiki, Naibu Waziri wa Uchukuzi Muh. Charles Tizeba alitumwa na Serikali kwenda Rwanda kukutana na Waziri mwenzake pamoja na wafanyabiashara wanaotumia bandari ya Dar. Lengo la ziara lilikua kuweka mambo sawa ili bandari yetu iendelee kutumiwa na Rwanda.

Muh. Tizeba aliwaambia wafanyabiashara na waziri wa uchukuzi wa Rwanda kuwa alimtuma mtu kutoka wizarani ili akasafiri kwenye lori kwa lengo la kushuhudia kero za barabarani. "Yule niliemtuma alisema kuwa walisimamishwa njiani mara 107. Ni kwenye mizani na check points za polisi na TRA. Kuanzia leo tumepunguza idadi ya mizani kwa malori ya Rwanda. Lori zitapimwa Vigwaza, Singida na mpakani. Vituo vitatu tu. Watu wa TRA na POlisi nao watacheki malori kwenye hizo mizani." Jambo hili liliwafurahisha wafanyabiashara ukizingatia kuwa bandari ya dar ipo karibu na Rwanda kuliko ile ya Mombasa. Wameahidi kutumia bandari ya Dar.

Naipongeza serikali kwa kwenda Rwanda haraka iwezikanavyo. Waziri aende Uganda kwa lengo hilohilo! Kama mawaziri wote wangekua wana react immediately, tungekua mbali kimaendeleo. Hongera Mwakyembe na Tizeba!

WanaJF, hivi ni lazima vituo viwe vingi kiasi hiki!? Hamdhani kuwa suala la utitiri wa mizani na check points linahitaji mjadala wa kitaifa? Basi la kwenda Tanga kutoka Dar linapimwa Kibaha, Msata na Tanga kabla ya kuingia Stendi. Hivi pana haja ya kupima basi mara tatu au zaidi? Nawasilisha!

Je unajua vilevile kuwa kulikuwa na kikao cha Baraza la Mawaziri wa usafirishaji, mawasiliano na hali ya hewa (TCM) la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambalo Mh Tizebwa aliwakilisha TZ? Ndio maana alikuwa Rwanda.
 
the problem with many guys on JF is hating discussing national issues. they like discussing people while using abusive language. in other countries, topics regarding national interest like this one I have posted, usually get a big number of people contributing positively or negatively.

Hiyo ndiyo aina ya watu wanaoitwa WAKEREKETWA,MAKADA marachache huitwa WAFURUKUTWA watu hao hupendwa sana na baadhi ya viongozi wetu wa CHAMA! Kwasababu hawawezi kusifia kitu chochote nje ya CHAMA,sasa angalia hatajambo linalo hitaji pongezi,lililofanywa na serikali ya CHAMA chetu yeye anafikiri ni CHADEMA!Tumpe muda labda viroba vikimtoka kichwani anaweza kuwa na hoja.
 
Je unajua vilevile kuwa kulikuwa na kikao cha Baraza la Mawaziri wa usafirishaji, mawasiliano na hali ya hewa (TCM) la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambalo Mh Tizebwa aliwakilisha TZ? Ndio maana alikuwa Rwanda.

Mkuu kama kitu inakifahamu ni vema kuweka wazi kuliko na wewe kuuliza wakati jibu unalo.

Mnajadiliana wawili lakini mawazo yenu yanasomwa na maelfu ya watu humu jf.

hebu tupe habari kamili,majadiliano yao yalikuaje.!!
 
MSUKULE ni mtu aliechukuliwa kwa nguvu za giza ili atumike kwenye shughuli zisizohitaji akili kama kulima shamba kwa faida ya mwenye Msukule. Chadema inawatumia vijana wasiojitambua kama misukule kwenda kufanya maandamano yasiyo halali na vurugu huku wao viongozi wakipokelewa na watoto na wake zao wakiwa na sukari na mkate na pia wanakaa majumbani kwao wakiwaangalia kwenye TV wanavyokula mkong'oto. Wakati sisi tuliandamana tunaingia nyumabani tukijificha na ukuta hadi kitandani tuwaacha watoto wetu wakipiga miayo sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini kumbe baba alikuwa anarukaruka barabarani akiwatengenezea watu wengine maisha,

mkuu uko sawa kweli au siasa zinakuchanganya.?
 
Back
Top Bottom