Ukisoma Mwananchi la leo, Juni 7, na hasa ukisoma between lines, na baadaye kufanya uchambuzi kidogo kuhusiana na masuala 'hit squard straregies', utagundua kuwa ni muda mrefu serikali imekuwa ikisubiri fursa hii (opportunity) ya kuwa na Mbowe katika reasonable distance. Bila shaka kulikuwa na lengo maalumu ili kukamilisha shughuli maalum.
Serikali si wajinga kiasi hicho kwamba wasijue kuwa mahakamani Arusha hakukuwa na kesi yoyote.
Wala tusidhani kuwa matumizi ya ndege ya jeshi, tena kwa siri kubwa, na usiku (na tayari jeshi lenyewe sasa linakanusha), yalikuwa ni out of oblivion.
Tunaofahamu, bado hatujayasahau yaliyowapata akina:
Kanali Shija,
Mousa Memba,
Horace Kolimba,
Nyerere (poleni msiojua),
Waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon, na wengineo.
CDM waanze succession plan mapema. Aidha waanzishe na ku-train intelligence ya chama, vinginevyo wataona 2015 pamekuwa karibu sana.:majani7: