We can't go against Nature Bana "hata Jogooo utamkuta na mitetea mingi" ila huwezi kuta "Mtetea mmoja majogoo matatu" lazima zipigwe tu hapo
Kula tano m2 wangu, ikitokea wanawake wakawa ma-polygamists hapo ndo mjue ulimwengu utakuwa umehalalisha umalaya moja kwa moja kwa nchi zote.Wanaume kiasili ni leaders,hivyo hata swala la wake wengi haliwasumbui,kitu ambacho kwa wanawake kama haiwezekani.
Pole kwa kifongo lakini si una-ID zaidi ya 17...lolWana jamii, heshima yenu habari za siku maana nilikuwa jela ndio nimerudi,
kuna jambo hapa linanitatiza hasa katika mambo ya ndoa na mahusiano
inaeleweka kabisa katika mapenzi/mahusiano mwanammke ndio mwenye wivu kuliko mwanamme kwa kiwango kikubwa
Na katika dunia yetu kuna baadhi ya dini zinaruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja
hivi kwa mfano hizo dini zingeruhusu mwanamke na yeye kuolewa na zaidi ya mwanamme mmoja ingekuwaje?
na sisi wanume huwa tunakuwa na hasira na maumuzi magumu tunapogundua kuwa wapenzi/wake zetu wana toka nje ya maahusiano
Swali langu!
Je sisi wanaume tungeweza kuvumilia kama mwanamke angeruhusiwa kuolewa na zaidi ya mme mmoja?
kwa upande wa wanawake ambao wanaishi na mme ambae ameowa mke zaidi ya mmoja hali iko vipi?
naomba kusikia kutoka kwenu wadau, tuongee hali halisi
...Je sisi wanaume tungeweza kuvumilia kama mwanamke angeruhusiwa kuolewa na zaidi ya mme mmoja?
kwa upande wa wanawake ambao wanaishi na mme ambae ameowa mke zaidi ya mmoja hali iko vipi?
naomba kusikia kutoka kwenu wadau, tuongee hali halisi
Hahahahahaaha LOOKsababu ya waislamu kuoa wake wengi nikwamba unajua hawa wenzetu waislam wanajua kuwa wako wachache duniani hivo hii ni sera yao ili waweze kucompete na wakristu na wakaona dawa ni kuoa wake wengi ili wazaliane kwa wingi kuongeza idadi ya uislam ulimwenguni na kama ujuavyo mtoto hufata dini ya baba na si ya mama ivo wanaamini kuwa kwa kufanya ivo idadi ya waislam inaongezeka na ndomana huwa wanapongezana sana endapo muislamu ataoa mkristo kwa vile wanakuwa wameongeza idadi yao lakini ole wewe mwanaume wa kikristo utangaze ndoa na binti wa kiislamu utaona vipingamizi vyake so kama waislamu mtaniona mdini mtanisamehe lakini huo ndo ukweli ulivyo.