Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
Bilioni 500 zitatumika vipi? Or it's just a number!
Mimi hiyo ya tuanze kuruka jumatatu ndio imenimaliza!!
MH Kikwete. Huku uhamishoni tunakoishi mtu au watu wakishindwa kazi kizembe kama walivyoshindwa akina Nyang'anyi, cha kwanza ni kuotesha nyasi kibarua au vibarua vyao cha pili ni kutafuta watu wenye uwezo,nia na maono ya kuifanya kazi hiyo na kuwapa kibarua cha kujenga upya pale vilaza waliposhindwa.
Nilitegemea Rais angechukua matatizo ya ATCL positively na kuamua kulisuka shirika letu la ndege upya na kulifanya liwe na sura ya limataifa inayoruhusu ukuaji, uwazi na utendaji unaoendana na karne hii ya 21.
Kifo cha shirika hili kimetokea kwa sababu kila kitu ndani ya ATCL hakiwezekani, shirika limejaa wanasiasa wababaishaji, walioshindwa katika siasa sasa wanalia pensheni kwenye shughuli nzito kama kuongoza shirika la ndege.
Kuongoza shirika la ndege kunataka mtu au watu wenye vichwa, siyo hao wapitao kila kona na majigambo wakidhani wana vichwa kumbe wamebeba matikiti maji juu ya shingo zao. hii hii hii!
MH Rais, hii niaibu ya kimataifa.
Jk anaamrisha kama jeshini hahaha haya asubiri hizo hela aone zitakavyo m disappoint maana watatzitafuna hasa duu hy ndio yaitwa lala salamaaa......
Mkuu,hiyo post uliyoinukuu ni ya mwanakijiji kweli?Mwanakijiji,
Nina uhakika mkubwa sana, Mh. Rais anakitu kichwani mwake ambacho haikuwa wakati muafaka kukitoa...
Ukitaka kweli ndege ziruke haraka ili taifa lisiendelee kula hasara, ni vyema uache hao hao wabababishaji walirudishe hewani. kuliko kuanza kutikisa uongozi... nina uhakika by May, wengi hawatakuwepo kwenye hilo shirika.
Hoja yake ilikuwa ndege ziruke, alafu... tuangalie shirika litaendelea je... hii haimaanisha jamaa wamelala,,, mimi namwamini sana Dr. Shukuru ni mtu wa vitendo, result oriented, hapa tulipo kuna already wataalamu wanachunguza na watamletea report baada ya kukataa report ya nyanganyi...
Time will tell, vuta pumzi...
Mbona mlipiga makelele ya EPA na yakatokea...
solution ni kuondoa management ya juu yote na kuleta professionals from abroad for 5yrs while they train the remaining management intensely...then you ask them to re apply for their jobs while all positions are put open to the public wa compete na market!! ndo kilichobaki!! kuna vijana wapo wanaoweza kuendesha haya marika sema wanaishiwa kupewa desk jobs wizarani mpaka wana duwaaaa!! maoni tuu
Ina maana muda wote tangu ATCL ipate tatizo hakuwahi kukaa na hao jamaa wampe majibu ya hayo maswali?
Ana priorities zipi kama hili halikuwa mojawapo? Hivi jamaa amesoma Uchumi kweli?
Duh...
From abroad??? This is a joke... right?? what do u mean by " professional from abroad"?
Mkuu kama nimekuelewa vizuri ..yaani waletwe watu kutoka nje kuja kufanya maajabu yepi? Nani kasema TZ hakuna wataalamu? tatizo limekuwa ni kushindwa kuweka mkakati mzuri kuwapata wazawa wenye historia ya utendaji mzuri, waendeshe taasis za umma.Mbona watz wamejaa tele kwenye private sector na hata mashirika ya kimataifa?Humuhumu JF kuna wataalam lukuki.WHY foreigners???
What needs to be done ni kutangaza kazi, watu watume maombi, wasailiwe na anayefanya vizuri na mwenye track record nzuri ya performance mahali kwinginewe apewe kazi on probation.Akivurunda pia atimuliwe.
Mkuu,naomba kutautiana nawewe katika hili.Please NO FOREIGNERS in solving this,sisi wenyewe tukijipanga vizuri inawezekana kabisa tukalikwamua shirika hili,tatizo hapa naona ni yaleyale ya kuoneana aibu,thus instead of firing someone we asks him,"how much do u want?".Kwa mwendo huu wa kutaka kuweka mvinyo mpya kwenye bilauri ya zamani hakika HATUTAFIKA!
BTW;
bado hatujausahau ule mzimu wa Net Group Solution,just think of how it costs us in dealing with them.
Itaendelea itakapobidi....