Jk katika utawala wake kaweka rekodi ya kufanya madudu mengi sana,siwezi kuyaorodhesha hapa kwani watu washayazungumza sana! Ila huyu jamaa kajitahidi sana kukuza demokrasia na kupunguza kuogopana katika jamii,ijapokuwa ana mapungufu ya kuchakachua kura! Nakumbuka katika tawala zilizopita kuna watu walikuwa ni miungu watu,hawashikiki! Wote 2nakumbuka ukilaza wa sumaye enzi zake lakini kazi ya kupambana na watu kama hao 2limwachia lyatonga peke yake! Siku hizi ni ful kujiachia,mtu unaweza kusema chochote kuhusu chochote na ukapeta tu! Magazeti ni kama utitiri na kila cku baadhi yao yanaandika mambo kinyume ya maadili au yanatukana watu,lakini yanapeta streetz! Pamoja na matatizo yake lakini ndani ya tanzania ss ni kujimwaga tu,sema chochote! Sasa najaribu kujiuliza kama hizi ni juhudi binafsi za kikwete katika kukuza demokrasia au kabanwa kwenye angle ana jinsi ya kufanya??inambidi 2 awe mpole?
Umenena. Mh. J.K ni kweli yeye kama binadamu ana mapungufu yake. Lakini kuna baadhi ya mambo kayaweka sawa! Umeishaenda UDOM?
Jk katika utawala wake kaweka rekodi ya kufanya madudu mengi sana,siwezi kuyaorodhesha hapa kwani watu washayazungumza sana! Ila huyu jamaa kajitahidi sana kukuza demokrasia na kupunguza kuogopana katika jamii,ijapokuwa ana mapungufu ya kuchakachua kura! Nakumbuka katika tawala zilizopita kuna watu walikuwa ni miungu watu,hawashikiki! Wote 2nakumbuka ukilaza wa sumaye enzi zake lakini kazi ya kupambana na watu kama hao 2limwachia lyatonga peke yake! Siku hizi ni ful kujiachia,mtu unaweza kusema chochote kuhusu chochote na ukapeta tu! Magazeti ni kama utitiri na kila cku baadhi yao yanaandika mambo kinyume ya maadili au yanatukana watu,lakini yanapeta streetz! Pamoja na matatizo yake lakini ndani ya tanzania ss ni kujimwaga tu,sema chochote! Sasa najaribu kujiuliza kama hizi ni juhudi binafsi za kikwete katika kukuza demokrasia au kabanwa kwenye angle ana jinsi ya kufanya??inambidi 2 awe mpole?
UDOM kuna nini? Tunajua chuo kimejengwa kwa uzuri wa majengo tu! Waulize wanafunzi ubora wa elimu, hakuna field, maji hayatoshelezi, walimu wachache, hajawahi kuonekana Proffesor darasani zaidi ya wenye masters tu. na mambo mengine kibao. UDOM hakina tofauti na shule za kata za EL, Sio tu kuanzisha chuo wanatakiwa kuangalia na ubora wa Elimu. University huwa haipachikwi bali inakua, huwezi anzisha chuo ndani ya miaka mitatu ukaita university.
wala siyo UDOM tu.Unajua waswahili tunasema "Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" JK kuna mambo kachemsha kulingana na mfumo alioukuta na kama ukiwa mazalendo wa dhati, ni kwamba kipindi chake kimekuwa cha kushughulikia matatizo mengi aliyoyaacha mkapa. Nilienda Kigoma Mwaka jana hali niliyoikuta pale hakuna hata rais ktk waliomtangulia aliyeweza kufanya vile. Anaunganisha mikoa yote kwa barabara za lami,kasimamia ujenzi wa sekondari za Kata japo zina changamoto zake, lakini bila kuzianzisha hizo changamoto tusingeziona,wote tunajua Moja siyo sawa na zero,yeyote anayebeza hili nadhani mtindio wa ubongo hauko sawa.na mengine mengi