Kwa hili jambo Diamond ameonesha ukomavu wa hali ya juu, apewe hongera yake

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,422
21,116
Kiukweli mafanikio ya msanii Diamond Platnumz hayaji kibahati bahati bali mafanikio yake yanachagizwa na mambo mengi sana achilia mbali suala la kujituma kwa nguvu zake, Diamond ana roho ya utu sana hasa kwa wasanii wenzake hapa nchini japo wengi hawampendi akiwemo hasimu wake mkubwa ambaye hapo awali walikuwa maswahiba sana, hapa namzungumzia Omari Nyembo (Ommy Dimpoz).

Miezi michache iliyopita Ommy Dimpozi alimdhalilisha kwa kiasi kikubwa mitandaoni na uraiani Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi (Bi Sandra) kwa kueneza habari za uzushi kwamba amelala na mama Diamond mara nyingi sana na pia akaendelea kumchafua Bi Sandra kwamba vijana wengi sana wamemtafuna jambo ambalo liliibua ugomvi mkubwa ambao bado kidogo Ommy Dimpoz apelekwe mahakamani kwa kesi ya udhalilishaji ,lakini yote kwa yote Diamond alimtuliza mama yake na kumsihi amsamehe bure maana hajui alitendalo.

Licha ya Diamond mara kwa mara kutafuta suluhu ili bifu lake na Ommy Dimpoz liishe bado Ommy aliendelea kumvimbia Diamond.

Kwa kifupi Diamond alitaka bifu lao liishe tangu 2014 walipokutana South Africa kwenye tuzo za Afrimma ambapo Diamond alimfuata Ommy na kumpa mkono lakini Ommy aliikataa salamu ile na kujibu majibu ya hovyo, Diamond alilichukululia suala hilo kawaida tu na kupotezea.

Ommy akaona ili amuumize zaidi Diamond akaona atengeneze urafiki na Ali Kiba lakini kumbe anajikomoa mwenyewe kwa maana alizidi kuporomoka kimuziki tangu aunge urafiki na Kiba.

Yote kwa yote Diamond akuyaweka moyoni badala yake alijikita zaidi katika muziki wake ili upige hatua zaidi, na kwa kuonesha kwamba yeye ni mkomavu wa kifikra leo Diamond amempost swahiba wake wa siku nyingi Ommy Dimpoz na kumuombea kwa Mungu amponye haraka ili arudi tena katika shughuli zake za kila siku za kujenga taifa.

20180825_172032.jpg
20180825_172100.jpg
 
Kiukweli mafanikio ya msanii Diamond Platnumz hayaji kibahati bahati bali mafanikio yake yanachagizwa na mambo mengi sana achilia mbali suala la kujituma kwa nguvu zake, Diamond ana roho ya utu sana hasa kwa wasanii wenzake hapa nchini japo wengi hawampendi akiwemo hasimu wake mkubwa ambaye hapo awali walikuwa maswahiba sana, hapa namzungumzia Omari Nyembo (Ommy Dimpoz).

Miezi michache iliyopita Ommy Dimpozi alimdhalilisha kwa kiasi kikubwa mitandaoni na uraiani Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi (Bi Sandra) kwa kueneza habari za uzushi kwamba amelala na mama Diamond mara nyingi sana na pia akaendelea kumchafua Bi Sandra kwamba vijana wengi sana wamemtafuna jambo ambalo liliibua ugomvi mkubwa ambao bado kidogo Ommy Dimpoz apelekwe mahakamani kwa kesi ya udhalilishaji ,lakini yote kwa yote Diamond alimtuliza mama yake na kumsihi amsamehe bure maana hajui alitendalo.

Licha ya Diamond mara kwa mara kutafuta suluhu ili bifu lake na Ommy Dimpoz liishe bado Ommy aliendelea kumvimbia Diamond.

Kwa kifupi Diamond alitaka bifu lao liishe tangu 2014 walipokutana South Africa kwenye tuzo za Afrimma ambapo Diamond alimfuata Ommy na kumpa mkono lakini Ommy aliikataa salamu ile na kujibu majibu ya hovyo ,Diamond alilichukululia suala hilo kawaida tu na kupotezea .

View attachment 846754View attachment 846755
Hivi kumpost kumemtibu ugonjwa wake? Mi nilidhani ametoa pesa kusidia matibabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mleta mada umeelezea habari yako kama shangingi Fulani hivi...hayo mambo ya kawaida sana utadhani katoa 10milions za matibabu bwana!
 
Kiukweli mafanikio ya msanii Diamond Platnumz hayaji kibahati bahati bali mafanikio yake yanachagizwa na mambo mengi sana achilia mbali suala la kujituma kwa nguvu zake, Diamond ana roho ya utu sana hasa kwa wasanii wenzake hapa nchini japo wengi hawampendi akiwemo hasimu wake mkubwa ambaye hapo awali walikuwa maswahiba sana, hapa namzungumzia Omari Nyembo (Ommy Dimpoz).

Miezi michache iliyopita Ommy Dimpozi alimdhalilisha kwa kiasi kikubwa mitandaoni na uraiani Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi (Bi Sandra) kwa kueneza habari za uzushi kwamba amelala na mama Diamond mara nyingi sana na pia akaendelea kumchafua Bi Sandra kwamba vijana wengi sana wamemtafuna jambo ambalo liliibua ugomvi mkubwa ambao bado kidogo Ommy Dimpoz apelekwe mahakamani kwa kesi ya udhalilishaji ,lakini yote kwa yote Diamond alimtuliza mama yake na kumsihi amsamehe bure maana hajui alitendalo.

Licha ya Diamond mara kwa mara kutafuta suluhu ili bifu lake na Ommy Dimpoz liishe bado Ommy aliendelea kumvimbia Diamond.

Kwa kifupi Diamond alitaka bifu lao liishe tangu 2014 walipokutana South Africa kwenye tuzo za Afrimma ambapo Diamond alimfuata Ommy na kumpa mkono lakini Ommy aliikataa salamu ile na kujibu majibu ya hovyo ,Diamond alilichukululia suala hilo kawaida tu na kupotezea .

Ommy akaona ili amuumize zaidi Diamond akaona atengeneze urafiki na Ali Kiba lakini kumbe anajikomoa mwenyewe kwa maana alizidi kuporomoka kimuziki tangu aunge urafiki na Kiba.

Yote kwa yote Diamond akuyaweka moyoni badala yake alijikita zaidi katika muziki wake ili upige hatua zaidi, na kwa kuonesha kwamba yeye ni mkomavu wa kifikra leo Diamond amempost swahiba wake wa siku nyingi Ommy Dimpoz na kumuombea kwa Mungu amponye haraka ili arudi tena katika shughuli zake za kila siku za kujenga taifa.

View attachment 846754View attachment 846755
Kueneza habari za uzushi?wewe ndo unaleta uzushi.mama hajawahi kukana km jamaa hajambandua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kumbuka kabla ommy hajatoboa siri ya kumtafuna sandra,diamond aliutangazia umma ommy ni punga. Hebu fikiria wewe mwanaume rijali mtu akutangazie wewe ni bwabwa, yani kiazi, utajisikiaje?
pili pili pili (in tundulissu'voice), habari ya kusema ommy kumkeng'eta mama dai ni uzushi, unasema wewe. Sio dai, au hata mama dai mwenyewe hawajakanusha hadi leo. Sanasana watu tunaweza kuamini maneno ya ommy, kutokana na aina ya mume aliyeolewa nae mama dai.
 
Kiukweli mafanikio ya msanii Diamond Platnumz hayaji kibahati bahati bali mafanikio yake yanachagizwa na mambo mengi sana achilia mbali suala la kujituma kwa nguvu zake, Diamond ana roho ya utu sana hasa kwa wasanii wenzake hapa nchini japo wengi hawampendi akiwemo hasimu wake mkubwa ambaye hapo awali walikuwa maswahiba sana, hapa namzungumzia Omari Nyembo (Ommy Dimpoz).

Miezi michache iliyopita Ommy Dimpozi alimdhalilisha kwa kiasi kikubwa mitandaoni na uraiani Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi (Bi Sandra) kwa kueneza habari za uzushi kwamba amelala na mama Diamond mara nyingi sana na pia akaendelea kumchafua Bi Sandra kwamba vijana wengi sana wamemtafuna jambo ambalo liliibua ugomvi mkubwa ambao bado kidogo Ommy Dimpoz apelekwe mahakamani kwa kesi ya udhalilishaji ,lakini yote kwa yote Diamond alimtuliza mama yake na kumsihi amsamehe bure maana hajui alitendalo.

Licha ya Diamond mara kwa mara kutafuta suluhu ili bifu lake na Ommy Dimpoz liishe bado Ommy aliendelea kumvimbia Diamond.

Kwa kifupi Diamond alitaka bifu lao liishe tangu 2014 walipokutana South Africa kwenye tuzo za Afrimma ambapo Diamond alimfuata Ommy na kumpa mkono lakini Ommy aliikataa salamu ile na kujibu majibu ya hovyo ,Diamond alilichukululia suala hilo kawaida tu na kupotezea .

Ommy akaona ili amuumize zaidi Diamond akaona atengeneze urafiki na Ali Kiba lakini kumbe anajikomoa mwenyewe kwa maana alizidi kuporomoka kimuziki tangu aunge urafiki na Kiba.

Yote kwa yote Diamond akuyaweka moyoni badala yake alijikita zaidi katika muziki wake ili upige hatua zaidi, na kwa kuonesha kwamba yeye ni mkomavu wa kifikra leo Diamond amempost swahiba wake wa siku nyingi Ommy Dimpoz na kumuombea kwa Mungu amponye haraka ili arudi tena katika shughuli zake za kila siku za kujenga taifa.

View attachment 846754View attachment 846755
Ommy hakutaka unafiki mtu anakuchekea pembeni anakuita mchawi.
Ommy na alikiba walikuwa marafiki mbona kwani ngoma iliyomtoa Ommy nai nai Chorus kaimba nani ka si alikiba?
Aliyeanza msema mwenzake vibaya ni Diamond katika kipindi cha XXL kwa kudai Ommy alimtaka nakakataa ndiyo maana amemchukia na Ommy hapo hapo aliomba intervie ambapo kesho yake alifanyiwa na alielezea kuanzia mwanzo mpaka mwisho pasipo kumtukana wala kumsema mwenzake vibaya.
Ila baada ya intervie diamond akapost insta mafumbo akimtukana Ommy, Ommy nadhani hapo ndipo aliposema kama Mbway Mbway naye akajibu na akajibu kwa kugonga msumari alipojua diamond ataumia zaidi japo haikuwa sawa kumwingiza mamake diamond.
Na katika hiyo interview Ommy alisema yeye yuko tayari yaishe ila kila mara Salam Sk anakuwa namtaka Ommy eti akamwombe msamaha Diamond wakati yeye haoni alipokosea ila Dimaond alianza mwenyewe kumtenga sasa aombe msamaha wa nini ye alitegemea Salam awakutanishe awapatanishe siyo kumwambia aombe msamaha
 
Kama hujui kitu bora uulize tu.

Bifu la diamond na dimpozi lilianza tangu 2014.
 
Kuna sehemu nimebisha au kusoma hujui unajua kuandika tu?
Lakini wakati huo wote hakuna sehemu alipowahi Ommy kumsema vibaya diamond hadharani labda kama alikuwa anamsema pembeni, ila ni Diamond aliye mprovoke mwenzake baada ya kuulizwa vipi nini kinaendelea baina yake na Dimpoz ndipo akamsema mbaya mwenzake.
 
Umeona sasa unajiropokea tena.

Kaa tulia uulize kama kitu hukijui.
 
Back
Top Bottom