wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Wakati wa matokeo ya kura za uchaguzi walikamatwa vijana wenu wakihakiki matokeo na kupelekwa mahakamani. Baadhi ya viongozi walifika mahakamani kwa kuwafariji.
Leo mtuthibitishie ukweli wenu kwa hilo ni kweli, ni vijana wenu?
Kama ni kweli, mlikuwa na lengo gani kwa nchi hii?
Leo mtuthibitishie ukweli wenu kwa hilo ni kweli, ni vijana wenu?
Kama ni kweli, mlikuwa na lengo gani kwa nchi hii?