MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Unafanya kazi kama nani ? Na ina faida kweli ?
Ok mkuu ila inaweza kuwa nzuri kama kozi za veta ?Hayo ni mafunzo kwahy baada ya kumaliza unakwenda kujiajiri mwenyewe au kama serikali pana sehemu watu hao uhitajika watawachukua... Japo kujiajiri ndo mpango mzima.
Iko poa sana hii kozi sema vijana tunapenda kazi za kalamu sanaOk mkuu ila inaweza kuwa nzuri kama kozi za veta ?
Mimi sijaelewa mkuu hii kozi inahusiana nini hasa ? Je huu ni utengenezaji wa viatu na ngozi kutumia machine viwandani au upoje ??Iko poa sana hii kozi sema vijana tunapenda kazi za kalamu sana
mkuu una mafumboEnzi zile ukichaguliwa kwenda secondari unakwenda kwa fundi viatu anakutolea mzigo unashuka nao form 1. Nasikia huko majuu ni wenye fweza tu ndio wanaokwenda kwa mafundi viatu na kuweka order na sis wengine unaenda dukani unanua vilivyotengenezwa kiwandani (mass production).
Mkuu hiyo ya juu siyo fumbo. Nilipelekwa kwa fundi nikapimwa kiatu (travolta)-na nimafundi wazuri sana na bei poa (sijui siku hizi). Ninachotaka kusema ni kuwa kama fundi ni mzuri kazi zipo nyingi na hiyo ni ajira.mkuu una mafumbo
Mkuu nataka nimpeleke mdogo wangu je ? Itamfaa ila kamaliza form four akapata div four 28Mkuu hiyo ya juu siyo fumbo. Nilipelekwa kwa fundi nikapimwa kiatu (travolta)-na nimafundi wazuri sana na bei poa (sijui siku hizi). Ninachotaka kusema ni kuwa kama fundi ni mzuri kazi zipo nyingi na hiyo ni ajira.
Hicho kipande cha pili huo ndio uhalisia niliosikia huko majuu viatu wanasema vilivyoshonwa kwa mkono havishikiki.
Huwezi kuajiriwa labda ?Kujiajiri
Sawa mkuu lakini la msingi yeye mwenyewe anasemaje yuko tayari na anaipenda? Kama yuko tayari mpeleke kwani moyo wake utakuwa hapo.Mkuu nataka nimpeleke mdogo wangu je ? Itamfaa ila kamaliza form four akapata div four 28
Naomba unishauri mkuu juu ya faida ya hii kozi mawazo yako ni mhimu maana unauzoefu na kozi kama hiziSawa mkuu lakini la msingi yeye mwenyewe anasemaje yuko tayari na anaipenda? Kama yuko tayari mpeleke kwani moyo wake utakuwa hapo.
Mkuu huwa ni kiwanda kinachotengeneza ? Au inakuwa ajira za hii kozi ?Uku iringa wapo hao jamaaa wa natengeneza viatu vya ngoz ni imara but bei zao nazo juuu
Itakuwa serikali nafikriKwan hyo coz, nan n mzamini....na gharama yake n shingap