Kwa hii clip: Foleni Dar inaweza kuwa historia kwa gharama ndogo sana.. Tanroad tupieni Jicho hapa.

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Kuna sababu za foleni ambazo zinatokana na makosa ya ujenzi kwa kutozingatia ubujifu.

Ukiangalia hadi mwisho hii video utagundua tanroad pamoja na contractor kama wangekua wanaweka kipengere cha kutafiti wanataka magari yapite mangapi kwa muda gani nadhani wangekua wanakuja na soluhu bora zaidi na sio kujenga barabara ambayo inakua kama parking.

Hii dumbbell yetu ya pale mbezi itaongeza kupita magari mengi zaidi ya marambili kama wangeweka mataa kama ilivyo kua design ya mwanzo.

Japo ukiangalia hii video utagundua kungepatikana solution ambayo hata baada ya miaka 50 tusinge bomoa..

Hii design itahitajiabadiliko ndani ya miaka 10.
tapatalk_1568123265535.jpeg
 
Sawa.. lakini kumbuka huko Kigoma hakuna hata lami..

Tunacho zungumzia hapa ni kilekile kinacho fanyika kifanyike kwa ubora.

I think tumeanza vizuri na mwendokasi japo operation yake imetushinda.
Ukisikia maamuzi magumu ndio hayo dunia nzima wamefanikiwa kuondoa foleni kwa kutumia gari moshi mpaka za ndani ya ardhi subway
 
Kuna sababu za foleni ambazo zinatokana na makosa ya ujenzi kwa kutozingatia ubujifu.

Ukiangalia hadi mwisho hii video utagundua tanroad pamoja na contractor kama wangekua wanaweka kipengere cha kutafiti wanataka magari yapite mangapi kwa muda gani nadhani wangekua wanakuja na soluhu bora zaidi na sio kujenga barabara ambayo inakua kama parking.

Lazima ufanye traffic count kabla ya kusanifu barabara au makutano yoyote,shida ni pesa inayotolewa kulingana na bajeti inakuwa ndogo,hivyo una jenga kitu kutokana na bajeti uliyopewa
 
Hii dumbbell yetu ya pale mbezi itaongeza kupita magari mengi zaidi ya marambili kama wangeweka mataa kama ilivyo kua design ya mwanzo.

Japo ukiangalia hii video utagundua kungepatikana solution ambayo hata baada ya miaka 50 tusinge bomoa..

Hii design itahitajiabadiliko ndani ya miaka 10.View attachment 1206817
Very brilliant
 
Mkuu hapo Mbezi kitakuwa na njia ya juu? Really!!!
Mchoro wa mara ya kwanza ulionyesha wanaweka mataa.

Huu mchoro mpya unaonyesha kuna kuwa na overpass kwa njia ya morogoro.

Tanroad waliomo humu wanaweza elezea vizuri japo najua engineers sio watu wa mitandao.
tapatalk_1568123265535.jpeg
 
Back
Top Bottom