Kwa Heri CCM


Shukuru pia waombaji waliokuwa wamewaka kambi Udom wakiombea Taifa letu na viti vya udiwani,ubunge na rais visikaliwe na mtu mchavu na fisadi
 
Naamini ukawa kwa sasa wanajipanga tuone yao pia. Naomba msichelewe kama tulivyozoea kuwaona Chadema live siku 2 mpaka tatu mlimani city. Njooni ukawa ya Ccm yamekwisha watu wamekwenda msituni wanauguza majeraha.
 
 
mtahangaika sana nyie viroboto lakini magufuli ndo rais wenu ajaye.


Ukweli Ni Kwamba Kwa Yanayoendelea Tanzania Ccm Ijiandae Kukabidhi Madaraka Kwa Upinzani October 2015.


..r.i . p ccm...

yaan hapo wengi wametoka na manung'uniko,tabasam uson simanzi rohoni,kilichowaponza ubungo,ndio kinaenda kuwamaliza oktoba,so long magamba.

tumeskia ila we huoni ni kama hajiamin hiv,anawaambia tuu,muende mmobolise,kama hana uhakika,mwanzo ckujua ila lowwas,ni mtu powerful sana,pamoja na makandokando yake

 
Shukuru pia waombaji waliokuwa wamewaka kambi Udom wakiombea Taifa letu na viti vya udiwani,ubunge na rais visikaliwe na mtu mchavu na fisadi

Yes mkuu,wakiongozwa na mwalimu Christopher Mwakasege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…