Kwa haya simkubali magufuli

Kwa haya simkubali magufuli

Joined
Jan 17, 2016
Posts
24
Reaction score
23
Ninaamini watanzania hawajali nchi yao.viongozi wanaiba hakuna anaejali.na viongozi wanaiba kwa sababu RAIA hawajali.HV
1.kwa namna gani unaweza fukuza watendaji wa bandari na waziri husika kupangiwa wizara nyingine?
2.kama bei ya mafuta imeshuka toka 150 to 30 barrel mbn Tanzania iko pale pale?nani yuko nyuma ya hii hujuma?na RAIA wako kimya hawasemi lolote wanaendelea kusifia ujinga
3.kama bwana mkubwa ni msafi kwnn wizara yake imepatikana na ubadhirifu ripoti ya CIG?uadilifu wako uko WAP?
4.je bwanamkubwa ataletaje maendeleo wakat amefka hapo kwa kubebwa na hauikulikani nia katangazia WAP?atawakana vipi waliomfikisha hapo alipo?
5.je tangu makontena yakamatwe bandarini wananchi wamepata unafuu gani kimaisha?waliohusika wamechukuliwa hatua gani kama wahujumu uchumi?he hii INA tofauti gani na kikwete aliposema walioiba warudishe?
6.je ni kwel bwanamkubwa hasafiri nje kwa sababu ana uchungu na sisi?je hili haliwezi husishwa na uoga wa kupanda ndege?kumbk kipnd cha kampeni bwanamkubwa alikataa helikopta.je ni uoga au uzalendo?
7.mbn tangu aingie madarakani mamb huko zenji yamekwama?kama ni mzalend kwnn asivunje katiba ya Zanzibar na kuamuru mshindi atangazwe kama kwl mpenda haki?
8.amesema atakuwa RAIS was wa wote mbn upinzani bado wanagan damizwa kwny uchaguz wa mameya?haki iko WAP
9.kama yy mzalendo kwnn asikubali katiba mpya?badala yake wananchi weng wasio na elimu juu ya mamb ya utawala wanashabikia?
10.na mwisho mpk saiv sioni unafuu kwny vifaa vya ujenz je tatz liko WAP?
Kumkubali makufuli ni sawa na kumdhalilisha mzazi Wang alienisomesha
 
Be the first to reply...

We ni msukuma au mchaga??
 
CIG ndo nini?

Unataka mabadiliko bila kujishighulisha
 
Sasa hivi wasuki
Be the first to reply...

We ni msukuma au mchaga??
Kiukweli wakati huu wasukuma wanapeta sana. Na sisi wangoni wacha tusubiri miaka hamsini ijayo maana nchi imefikia huko
 
Ndugu yetu medical doctor nadhani unajitoa ufahamu kwa makusudi, naomba kuchangia kwenye namba 5 yako.
Mapato yaliyopatikana kwenye sakata la makontena huyaoni kweli? Sasa hii elimu bila malipo ya mzazi inawezekanaje kama sio hayo makusanyo?
Ila ukiona unahoji mpaka kupanda ndege kwa Rais nadhani umejitoa ufahamu katika kiwango cha kuonewa huruma.
Ombi langu kwenu waTZ wenzangu tusiwe sababu ya Rais kushindwa mwisho wa siku hii TZ ni yetu sote tusaidiane kuijenga sio kukosoa kila kitu suala la katiba mpya na la Zanzibar ni la kisheria halihitaji mihemko ya kisiasa.
 
Tanzania under CCM is not a country to be proud of hopeless kabisa.

Kama mafutandio yameshuka hivi na ndio hali inazid kuwa mbaya na ngumu kiasi hichi yani ndio maendeleo byebye. Very cruel regime.

Yaacheni yatawale na kuiba
 
Kwa hy kama katiba mpya ni ya kisheria mbn wanaleta katiba isiyo na maslahi kwa nchi? Unataka tutetee wizi?kwhy kama Tanzania yet tuwaache wafany wanavotaka? Tuache unafk tusimamie haki
 
Yani mwandiko wako tuu nimeshajua uko chama gani na elimu yako pia nimeshaijua!!Ushauri wangu endelea kumpinga Magufuli ukizingatia hata kura yako hakupata
 
Duh! MD sijui km ni hasira au la, acha kulalamika. Uraisi sio kuongoza darasa la tano B, vuta subira maendeleo unayoyataka utayaona tu.
 
Uliepost akili yako inashida uende milembe ukatibiwe sio halali ukipona ndoo urudi upost vingine kwan we ulijua utamkubali akikuletea hela ukiwa umebweteka au unapaswa kufanya kazi pole sanaaa
 
Ninaamini watanzania hawajali nchi yao.viongozi wanaiba hakuna anaejali.na viongozi wanaiba kwa sababu RAIA hawajali.HV
1.kwa namna gani unaweza fukuza watendaji wa bandari na waziri husika kupangiwa wizara nyingine?
2.kama bei ya mafuta imeshuka toka 150 to 30 barrel mbn Tanzania iko pale pale?nani yuko nyuma ya hii hujuma?na RAIA wako kimya hawasemi lolote wanaendelea kusifia ujinga
3.kama bwana mkubwa ni msafi kwnn wizara yake imepatikana na ubadhirifu ripoti ya CIG?uadilifu wako uko WAP?
4.je bwanamkubwa ataletaje maendeleo wakat amefka hapo kwa kubebwa na hauikulikani nia katangazia WAP?atawakana vipi waliomfikisha hapo alipo?
5.je tangu makontena yakamatwe bandarini wananchi wamepata unafuu gani kimaisha?waliohusika wamechukuliwa hatua gani kama wahujumu uchumi?he hii INA tofauti gani na kikwete aliposema walioiba warudishe?
6.je ni kwel bwanamkubwa hasafiri nje kwa sababu ana uchungu na sisi?je hili haliwezi husishwa na uoga wa kupanda ndege?kumbk kipnd cha kampeni bwanamkubwa alikataa helikopta.je ni uoga au uzalendo?
7.mbn tangu aingie madarakani mamb huko zenji yamekwama?kama ni mzalend kwnn asivunje katiba ya Zanzibar na kuamuru mshindi atangazwe kama kwl mpenda haki?
8.amesema atakuwa RAIS was wa wote mbn upinzani bado wanagan damizwa kwny uchaguz wa mameya?haki iko WAP
9.kama yy mzalendo kwnn asikubali katiba mpya?badala yake wananchi weng wasio na elimu juu ya mamb ya utawala wanashabikia?
10.na mwisho mpk saiv sioni unafuu kwny vifaa vya ujenz je tatz liko WAP?
Kumkubali makufuli ni sawa na kumdhalilisha mzazi Wang alienisomesha
Tangu lowasa aseme atagombea tena 2020 naona mnaanza kampen mapema
 
Jaman hiv unataka kila ahadi itekelezwe ndan ya hii miez mitatu?duuh
 
Naona kuna namna mpya ya kampeni za kumpinga Magufuli. Aliyepost suala hili typically ni Pro Lowassa ambao hawajakubali Raisi kutoka upande mwingine.
 
Ctarajii mabadiliko ya moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida, ila unafuu utapatikana na mpk sasa heshima isharud mijini, Guud start to mr. Presidaa
 
Kama ww hukubaliani naye sisi tunakubaliana naye, na haijawahi kutokea duniani kote mtu akapendwa na kila mtu. Hata yesu kristo wale aliowaponya na kuwafufua ndugu zao wakamgeuka na kumkana, hata alipokamatwa yule aliyekatwa sikio na petro japo aliponywa palepale na yesu lakn bado aliendelea kutokuwa na iman naye na mpaka wakamuua. Sisi wanadamu ndivyo tulivyo...
Go magufuli go
 
Sio lazima ukubaliane naye. Hata Yesu alikuja kwa watu wake na hao ndio walikuwa wakwanza kumkataa. Nini cha ajabu, chini ya JUA kipi cha ajabu???

Wapo wengine wanamkubali na wanaomuombea usiku na mchana. ZABURI 41:1-2

Queen Esther

Ninaamini watanzania hawajali nchi yao.viongozi wanaiba hakuna anaejali.na viongozi wanaiba kwa sababu RAIA hawajali.HV
1.kwa namna gani unaweza fukuza watendaji wa bandari na waziri husika kupangiwa wizara nyingine?
2.kama bei ya mafuta imeshuka toka 150 to 30 barrel mbn Tanzania iko pale pale?nani yuko nyuma ya hii hujuma?na RAIA wako kimya hawasemi lolote wanaendelea kusifia ujinga
3.kama bwana mkubwa ni msafi kwnn wizara yake imepatikana na ubadhirifu ripoti ya CIG?uadilifu wako uko WAP?
4.je bwanamkubwa ataletaje maendeleo wakat amefka hapo kwa kubebwa na hauikulikani nia katangazia WAP?atawakana vipi waliomfikisha hapo alipo?
5.je tangu makontena yakamatwe bandarini wananchi wamepata unafuu gani kimaisha?waliohusika wamechukuliwa hatua gani kama wahujumu uchumi?he hii INA tofauti gani na kikwete aliposema walioiba warudishe?
6.je ni kwel bwanamkubwa hasafiri nje kwa sababu ana uchungu na sisi?je hili haliwezi husishwa na uoga wa kupanda ndege?kumbk kipnd cha kampeni bwanamkubwa alikataa helikopta.je ni uoga au uzalendo?
7.mbn tangu aingie madarakani mamb huko zenji yamekwama?kama ni mzalend kwnn asivunje katiba ya Zanzibar na kuamuru mshindi atangazwe kama kwl mpenda haki?
8.amesema atakuwa RAIS was wa wote mbn upinzani bado wanagan damizwa kwny uchaguz wa mameya?haki iko WAP
9.kama yy mzalendo kwnn asikubali katiba mpya?badala yake wananchi weng wasio na elimu juu ya mamb ya utawala wanashabikia?
10.na mwisho mpk saiv sioni unafuu kwny vifaa vya ujenz je tatz liko WAP?
Kumkubali makufuli ni sawa na kumdhalilisha mzazi Wang alienisomesha
 
Tangu Mzee wao atangaze kuwa yuko fit 2020 anagombea naona ameandaa na timu ya kumtukana Mhe. Rais kwenye mitandao na kutwa kukosoa Serikali Yake.

Ngoja WAENDELEE kupambana na dola. Hivi huyu Mzee alishawatoa wale vijana walio hack mtandao wa tume na kujumlisha matokeo???? Mwisho wa siku cyber crime ikikushika ni wewe na familia yako mtakaolia na kusaga meno!!! Wenzio wanatanua na watoto wao wako Ulaya!!!

Queen Esther

Naona kuna namna mpya ya kampeni za kumpinga Magufuli. Aliyepost suala hili typically ni Pro Lowassa ambao hawajakubali Raisi kutoka upande mwingine.
 
Mbona unauliza maswali common, kuwa critical thinker! Serikali ya JPM inamapungufu mengi kama unaamua kuyaponda kuwa critical sio kutoa hoja za jumla jumla tu

Advantage ya magufuli n kwa sbb amekuwa sauti ya wanyonge, otherwise bado sana kuonekana itendaj wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom