kizazi kipya
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 327
- 62
we dogo!...nyie uongozi ulitoka wapi?emu nikukumbushe....(1) wakati bunge linataka kuongeza posho kwa wabunge, spika alitoa kauli gani? Na je naibu spika alisemaje,wakati huohuo ikulu ilkua inatoa kaul gani? Je unakumbuka wakati huo nape na pinda walikua wanatoa kauli gani?...mji/nga mkubwa weSasa nyinyi mnategemea chadema kuna uongozi?
Mwenyekiti ansema hilo ni swala la kidemokrasia anakuja Katibu Mkuu anasema hilo swala si chochote.
Mwenyekiti BAVICHAa anasema Shibuda kakosa anakuja Naibu Mwenyekitiwa hiyo hiyo BAVICHAa anasema Mwenyekiti wake ndio mwenye makosa.
Hapo sasa! Uongozi utoke wapi na mumuamini nani?
Sasa nyinyi mnategemea chadema kuna uongozi?
Mwenyekiti ansema hilo ni swala la kidemokrasia anakuja Katibu Mkuu anasema hilo swala si chochote.
Mwenyekiti BAVICHAa anasema Shibuda kakosa anakuja Naibu Mwenyekitiwa hiyo hiyo BAVICHAa anasema Mwenyekiti wake ndio mwenye makosa.
Hapo sasa! Uongozi utoke wapi na mumuamini nani?
Taratibu! taratibu! pole! pole! siasa haitaki jazba mkuu.we dogo!...nyie uongozi ulitoka wapi?emu nikukumbushe....(1) wakati bunge linataka kuongeza posho kwa wabunge, spika alitoa kauli gani? Na je naibu spika alisemaje,wakati huohuo ikulu ilkua inatoa kaul gani? Je unakumbuka wakati huo nape na pinda walikua wanatoa kauli gani?...mji/nga mkubwa we
Taratibu! taratibu! pole! pole! siasa haitaki jazba mkuu.
we dogo!...nyie uongozi ulitoka wapi?emu nikukumbushe....(1) wakati bunge linataka kuongeza posho kwa wabunge, spika alitoa kauli gani? Na je naibu spika alisemaje,wakati huohuo ikulu ilkua inatoa kaul gani? Je unakumbuka wakati huo nape na pinda walikua wanatoa kauli gani?...mji/nga mkubwa we