kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,185
- 4,881
Iskilize inapoanza mwanzoni, utasikiaNikki mbishi verse
"Anasikika sana redioni nasikia boss mkuu mama "Ake
Ha ha
Jina lako na akili yako vinafananaNajua naweza kuwa against na watu wachache ila huyu jamaa ni ghost writer never seen.πΉπΉπΉ
Jamaa yupo deep sana kwenye mashairi yake, na hata utunzi wake sijaona kama yeye π½π½π½
Pia ni King of interview huyu jamaa unaweza sema Yale majibu kwenye interview anasoma sehemu then anajibuπππ
Joh Makini uandishi wake pia ni mzuri sana.
πππππ
Mkuu siyo kwamba we ndo huelewi?Hizi hiphop za siku hizi wanaimba vitu havieleweki muhumu aunganishe vina.
Naelewa vizuri mkuu, hao wanamuziki wa kurap siku ndo style yao ndo hiyo. Sikiliza vizuri hayo mashairi kuna vina ila maana hakuna.M
Mkuu siyo kwamba we ndo huelewi?
Kweli kabisa kusiwe na maana ya kihivyo lakini Muziki ni Sanaa na Sanaa ina mambo mengi sana kwa mfano kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "words play" na Mara nyingi zinakua ni punch lines za kukufikilisha tu na kuonyesha uwezo wa msanii kucheza na maneno tofauti kueleza maana tofauti Mfano ;Naelewa vizuri mkuu, hao wanamuziki wa kurap siku ndo style yao ndo hiyo. Sikiliza vizuri hayo mashairi kuna vina ila maana hakuna.
Halafu sikiliza mistari kama ya prof Jay kuna vina na maana ipo.
Unaonekana uko vizuri sana kwenye hayo mambo mkuu, Labda tuseme ni sanaa tu katika huo muziki ndo maana wanfanya hivyo hapo nakuelewa.Kweli kabisa kusiwe na maana ya kihivyo lakini Muziki ni Sanaa na Sanaa ina mambo mengi sana kwa mfano kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "words play" na Mara nyingi zinakua ni punch lines za kukufikilisha tu na kuonyesha uwezo wa msanii kucheza na maneno tofauti kueleza maana tofauti Mfano ;
Nikki kwenye kila siku anaimba "Nazibiti kama X na kisha na Multiply"
Akiwa na maana alama X inatumika kwenye kudhibiti mfano umejenga sehemu siyo unawekewa alama ya X...vilevile alama X inatumika kama alama ya kuzidisha(multiplication).
Lakini pia hapa amemtaja msanii X -Zibit wa marekani ambaye ana wimbo unaitwa multiply kwenye line hiyohiyo moja.
Kuhusu zibiti kutumika kama dhibiti inaruhusiwa kwenye uandishi unapoataka kufikisha ujumbe.
Mstari huu usipoulewa ni nonsense lakini ukiulewa utafurahia Kazi ya Sanaa.
Prof J anarap kumlenga kila Mtu lakini kunabaadhi ya mashahiri ya wasanii huwa siyo kwaajili ya kila Mtu...ndo mana nikakuuliza hill swali...Furahia Kazi ya Sanaa mkuu vijana wapo vizuri
nadhani wanajaribu kuonyesha utofauti wa kiuandishi na wasanii wengine wa kawaidaUnaonekana uko vizuri sana kwenye hayo mambo mkuu, Labda tuseme ni sanaa tu katika huo muziki ndo maana wanfanya hivyo hapo nakuelewa.
Lakini muziki kama burudani sidhan kama kuna ulazima kuwe mafumbo kama biblia kuelewa mpaka utumie akili nyingi
NceKweli kabisa kusiwe na maana ya kihivyo lakini Muziki ni Sanaa na Sanaa ina mambo mengi sana kwa mfano kwenye uandishi kuna kitu kinaitwa "words play" na Mara nyingi zinakua ni punch lines za kukufikilisha tu na kuonyesha uwezo wa msanii kucheza na maneno tofauti kueleza maana tofauti Mfano ;