Kwa hakika nitaichagua CCM

Kuichagua ccm na kununua laana na mikosi.wazee wamekikimbia wewe kijana wa kidigital unaing'ang'ania.yaani turudi analogy! Ni ujinga uliopitiliza na aibu kwa kijana aliyepitia shule kama wewe....nimeona aibu kusema aliyesoma!
 
Tangu umelaaniwa unadhani watu wote wamelaaniwa kama wewe.
 
Hao wazee unaowasema wakati waujana wao nao walikua wamelaaniwa......????????
Kuichagua ccm na kununua laana na mikosi.wazee wamekikimbia wewe kijana wa kidigital unaing'ang'ania.yaani turudi analogy! Ni ujinga uliopitiliza na aibu kwa kijana aliyepitia shule kama wewe....nimeona aibu kusema aliyesoma!
 
Hivi hiyo Twakwimu imechukuliwa kwenye Idadi ya line/chip au??

Maana kwa Takwimu za Idadi ya Watu Tanzania napata mashaka kidogo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…