kwani kiko wapi hiko chuo?
Hahaa haya bhana!Chuo cha kata ya Chimwaga hicho.
Swali ni hili, ni "wasomi" wangapi wanao-qualify kuingia huko kutoka katika shule zetu(za JK) za msingi na sekondari kwa uhalali?
Hiyo ndiyo elimu, si majengo.
Hapo kwenye chuo kizurihata mimi napaunga mkono,ingawa kuna mambo ya hovyohovyo yanafanyika ndani ya chama lakini mazuri ni mengi zaidi kuliko mabaya.Cover page amejtahdi kuweka ila bdo content ambayo ndiyo. Essence ya elimu ipo down!
Hicho chuo kinadumazwa na mfumo wa utawala wa cccccccccm,,,
chuo kizuri na plan ilkuwa nzuri ila magamba wameweka kama kijiwe cha kujitaftia political popularity!
I hate magamba adi nakufa!
kwanini mkuu umesema hivo? huna imani na ubora wa hayo majengo?
hayana ubora hata kidogo, devcember nilipita hapo. ukiingia majengo ya education yameshaanza kupiga nyufa za kufa mtu. sewage system ndo imeshacollapse n.k
Chuo cha kata ya Chimwaga hicho.