Nachukua fursa hii kukikumbusha Chama changu cha CCM kadri mambo yanavyoenda sasa hivi na matatizo ya kimaisha tunayokumbana nayo sisi wananchi huku mitaani NATABIRI mambo yatakuwa magumu sana 2020 labda itokee miujiza. Chukueni hatua ya haraka kufanya marekebisho.