Habari wanajf,
Nimesikitishwa sana na huduma inayotolewa na benki ya CRDB tawi la KAWE.Nina tatizo la kadi yangu na nilienda CRDB tawi la mbezi kuomba mpya na nimeambiwa nisubiri mpaka baada ya wiki mbili.
Sasa leo nikaenda hapo tawi la KAWE ili nicheki salio ili niweze KUTOA.Nikaulizwa kadi yako hiko wapi???Nikamuonyesha iliyoexpire na nikamuambia hii hapa ila imeexpire na nimeshaomba kupewa nyingine ndio nasubir ila nataka nijui Nina kiasi gani ktk account yangi!
Akanijibu lete huyo card,Nilipompatia akaingiza ktk kimachine flani na kuniambia ingiza namba zako za siri nikaweka. Baada ya hapo ananiambia hatuwezi kujua una balance kias gani nikashangaa sn.
Kwanza hawana hata computer na ninachokijua ni kwamba unaweza kujua una bal kiasi gani kwa kumpa acc no pekee yeye anafungua profile laki,anacheki then anakuambia sasa hapo hawana hii huduma.
Nilimuuliza is this CRDB bank au tigo pesa or m pesa agent?????
Jibu sijapewa na kwa kuwa wapo karibu na kituo cha police na nilishapandwa na hasira za kukaa folen but mwisho nilichokitaka sikufanikiwa nikaona nisepe zangu tu.Sina sim banking