Kwa bajaj inakuwaje?

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Huku kwetu nimechunguza nikaona biashara ya kukodisha bajaji za kubeba mizigo ni nzuri

Na nikaongea na wanaoziendesha wakasema hesabu ya tajiri kwa wiki ni sh elfu72, na gharama za kununua bajaj hiyo ni sh 3.5 mil.

Hapo mnaniambiaje bandugu, inalipa?
 

Kwenu wapi,ambapo bajaj ni M 3.5??
Hulu dsm Bajaj mpya ni M 5.5 mpaka m 5.9
Na hesabu kwa wiki laki 1na elfu 5… kwa maana ya elfu 15 kwa siku
 
Kwenu wapi,ambapo bajaj ni M 3.5??
Hulu dsm Bajaj mpya ni M 5.5 mpaka m 5.9
Na hesabu kwa wiki laki 1na elfu 5… kwa maana ya elfu 15 kwa siku

Mza ndo bei hiyo na hata sasa nimetoka kuuliza, bajaj ninayoizungumzia ni ile ya kubeba mizigo sio ya abiria
 
Kwenu wapi tufanye biashara pamoja. Ni PM tuongee
 
Hahahaha,watu mtatoana macho.
Nyie watu wa Dar mnatupa tabu sana sie Wamkoani kwa majibu yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…