Kwa ataayenipigia kura, donge nono kutolewa.

nasikia kura kura. hivi hizo kura wanapigaje?. halafu mimi donge nono nilikua naisoma kama penzi nono. mia
 
wewe umeshakuwa kitoweo cha muandaaji wa mashindano, hehehe hongera hashim Ruhazwe JR Lundenga kwa kujitwalia mzigo dezo dezo
 
Last edited by a moderator:
wewe umeshakuwa kitoweo cha muandaaji wa mashindano, hehehe hongera hashim Ruhazwe JR Lundenga kwa kujitwalia mzigo dezo dezo

Kwani kanibeba?
Si watu wamepiga kura jamani.
 
Last edited by a moderator:
Remmy hujui kusoma, hata picha unashindwa kuiona. Mi nasema Ruhazwe JR aka Wakati ni sasa uyu jamaa ni joka tena la kibisa kuanzisha mashindano apate mademu, dada Remmy siku c nyingi utaanza kuwa unapiga deki kwake, utafua, mwisho utahamia kwake kabisa
 
Last edited by a moderator:
wewe umeshakuwa kitoweo cha muandaaji wa mashindano, hehehe hongera hashim Ruhazwe JR Lundenga kwa kujitwalia mzigo dezo dezo

ha,ha,ha...ntakufungulia mashitaka kwa kuzusha mambo usiyokua na ushahidi,kwa kua hata hukujitokeza kupiga kura,na hukua mshiriki ktk kuwania taji.lete ushahidi wa tuhuma ulizotoa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…