Poa Weka Picha Ya Pikipiki Then Uko Dar Sehemu Gani
Vipi Umeamua Kuharisha Au Ulikuwa Unazuga?
taratibu mkuuVipi Umeamua Kuharisha Au Ulikuwa Unazuga?
Tuma Kwenye Email Hii Klpmyth@gmail.com
wakuu hivi kuna sanlg na sunlg?
Ndio kuna sun lg, son lg na san lg. Ila bora zaidi san lg.
kwanini wanatuchnganya hivi kwa makusudi hawa wachina??? lengo ni nini hasaaa??
kwanini wanatuchnganya hivi kwa makusudi hawa wachina??? lengo ni nini hasaaa??