K Kariba1 Member Joined Aug 20, 2012 Posts 75 Reaction score 4 Sep 13, 2012 #1 Kiwanja kinauzwa mivumoni kipo karibia na shule ya st. Patrick kina ukubwa wa 30mita kwa 20mita maji umeme vipo gari linafika mpaka kwenye kiwanja bei yake ml6 kwa anayehitaji piga 0714107215
Kiwanja kinauzwa mivumoni kipo karibia na shule ya st. Patrick kina ukubwa wa 30mita kwa 20mita maji umeme vipo gari linafika mpaka kwenye kiwanja bei yake ml6 kwa anayehitaji piga 0714107215
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,051 Reaction score 98,268 Sep 13, 2012 #2 Mivumoni ni dsm au mkoa wa pwani?
K Kariba1 Member Joined Aug 20, 2012 Posts 75 Reaction score 4 Sep 13, 2012 Thread starter #3 King Kong III said: Mivumoni ni dsm au mkoa wa pwani? Click to expand... King Kong III naona umelala, hujui mivumoni kama iko Dar es salaam? we endelea kulala tu waache wajanja wa mjini wachukue viwanja
King Kong III said: Mivumoni ni dsm au mkoa wa pwani? Click to expand... King Kong III naona umelala, hujui mivumoni kama iko Dar es salaam? we endelea kulala tu waache wajanja wa mjini wachukue viwanja
THE GEEK Member Joined Dec 10, 2010 Posts 90 Reaction score 32 Sep 14, 2012 #4 Mivumoni Madale ndo kule watu wanakochinjana??? Na hapo unamaanisha nini Milion 6 au Milion 16 ???
R Rweyemam105 Senior Member Joined Sep 8, 2012 Posts 103 Reaction score 153 Sep 14, 2012 #5 Milioni 6 Au 16 kaka? Je Ni surveyed Plot?
K Kariba1 Member Joined Aug 20, 2012 Posts 75 Reaction score 4 Sep 15, 2012 Thread starter #6 Bei yake ni milion 6, surveying in process but majirani wote tayari wana title deeds
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Sep 15, 2012 #7 Kariba1 said: King Kong III naona umelala, hujui mivumoni kama iko Dar es salaam? we endelea kulala tu waache wajanja wa mjini wachukue viwanja Click to expand... Mkuu jibu vizuri hilo swali,si watu wote tunakufahamu Mivumoni lkn tunamahitajio.
Kariba1 said: King Kong III naona umelala, hujui mivumoni kama iko Dar es salaam? we endelea kulala tu waache wajanja wa mjini wachukue viwanja Click to expand... Mkuu jibu vizuri hilo swali,si watu wote tunakufahamu Mivumoni lkn tunamahitajio.