Huyo referee hana contact??Habari wakuu,
Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu alikuwa anafuatilia post ya Ualimu na nyaraka zinaonyesha/referr wake ni Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa Arusha.
Ova.
Huyo jamaa kakuuliza swali la maana sana.maswali ya nn hujaelewa wapi| kama huhusiki acha wengine waje
Toka lini kwenye cv kukawa na Referee af hana contact ndo maana nimeuliza boss wa sina nia mbayasina jibu. mjibu wewe
Hii jamii forum sio ileZilizopo hazipatikani