Kwa anayemfahamu Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa Arusha TUWASILIANE.

musa_ali

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
377
386
Habari wakuu,

Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu alikuwa anafuatilia post ya Ualimu na nyaraka zinaonyesha/referr wake ni Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa Arusha.

Ova.
 
Huyo referee hana contact??
 
Ni vema jina LA marehemu likaweka hapa pengine huyo mwalimu hata si ndugu yake ila ni mtu tu aliekuwa jirani na kipindi hicho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom