sasa vigezo vya kuhama ni hivi.
uwe na cheti cha ndoa kama umeoa au kuolewa, au uwe na sababu ya msing mf...ugonjwa(vyet) kuonesha kweli unaumwa, baada ya hapo andika barua kwa mkurugenz unaetaka kwenda k.k mkurugenz ulipo k.k afisa elim wako k.k mkuu wa shule wako.wakikupitishia hao hapo kwako kule hamna tatizo.