G genuine1 Member Joined Dec 10, 2013 Posts 57 Reaction score 12 Apr 25, 2014 #1 Wakuu hope wazima wote,naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kutumia program yoyote ya kutambua location ya namba ya simu ya mkononi endapo mtu hatumii smartphone.
Wakuu hope wazima wote,naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kutumia program yoyote ya kutambua location ya namba ya simu ya mkononi endapo mtu hatumii smartphone.
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,162 Apr 25, 2014 #2 Tanzania Hakuna ! Na haiwezekani ! Wafuate ISP wa mtandao husika ! :msela: :closed_2: